Nifanye Mapenzi, Ama Nisifanye?

Nifanye Mapenzi, Ama Nisifanye?

Magonjwa, utapeli, pesa hazijawahi kuwa na uwezo wa kufuta utamu wa kumwingilia mwanamke. Kama hilo ndo tatizo lako basi nyeto utaacha tu ni suala la muda huo mtazamo utafutika as long as wewe ni mwanaume rijali.
wajinga ndiyo wanaoliwa
endeleeni kupigwa huko,
 
wajinga ndiyo wanaoliwa
endeleeni kupigwa huko,
Kupigwa nn? Okey ww usiyepigwa na huna mwanamke unauofauti wowote na ambao unasema tunapigwa? Umetuzidi nn ambacho ss hatuna sababu tumepigwa?
 
Kupigwa nn? Okey ww usiyepigwa na huna mwanamke unauofauti wowote na ambao unasema tunapigwa? Umetuzidi nn?
Aliyekuzidi kakuzidi we Mtu mzima unaangaika na kununua condom unafiki utakuwa sawa na mpiga Punyeto mwenye goals zake huwezi kumpata
 
Aliyekuzidi kakuzidi we Mtu mzima unaangaika na kununua condom unafiki utakuwa sawa na mpiga Punyeto mwenye goals zake huwezi kumpata
Ndo umezidi nn? Kama sis tunanunua condom wewe usiyenunua umetuzidi nn? Kwamba unataka wanaume wote tupige nyeto sababu condom zinauzwa?
 
View attachment 2544934Siku hizi kuna kundi la watu wanaopinga ndoa (KATAA NDOA) na kuhamasisha watu wasifunge ndoa - lakini wengine wamekuwa wakifanya 'me-time' na kujisaidia wenyewe. Ndio maana leo hii nataka kuandika makala "Kwanini tufanye tendo na kwanini tusifanye tendo." Kupitia makala hii, nataka watu waelewe kwa nini ni muhimu kufanya tendo na kwa nini pia inaweza kuwa sio muhimu.

Tukiangalia upande wa ndoa, kuna sababu nyingi za kufunga ndoa. Kwa mfano, ndoa inaweza kuleta furaha na utulivu katika maisha. Pia, inaweza kuwa na manufaa kwa familia na kuwasaidia watoto kukua katika mazingira yenye upendo. Lakini pia, kuna sababu nyingine za kutoa kipaumbele kwa ngono. Kwa mfano, ngono inaweza kuwa na faida kwa afya yetu ya akili na mwili.

Lakini hebu tuzungumzie suala la 'me-time.' Masturbation ina madhara mengi kama vile kuathiri afya ya ngono, kuchanganyikiwa na kuharibu uhusiano wako wa kimapenzi. Kwa hivyo, badala ya kujisaidia wenyewe, kuna faida nyingi kwa kufanya tendo na mwenzi wako. Kwa mfano, inaweza kuimarisha uhusiano wako na kuongeza uaminifu na upendo kati yenu.

Kwa hivyo, unaweza kufikiria kufunga ndoa na kupata mwenzi ambaye unaweza kufanya tendo naye na kujenga uhusiano wa kudumu. Lakini, ikiwa hauko tayari kufunga ndoa, kuna njia nyingine za kupata raha na kujisikia vizuri bila kuharibu uhusiano wako. Kwa mfano, unaweza kuanzisha uhusiano wa kimapenzi na mtu bila kufunga ndoa, au kufurahia maisha yako kama mwenyeji mwenye furaha bila shinikizo la kuolewa.

Kwa hivyo, tunahitaji kuzingatia faida na hasara za kufanya tendo na kufunga ndoa, na kufanya maamuzi ambayo yanatufanya tuwe wenye furaha na tufikie malengo yetu. Lakini tuhakikishe kuwa tunajiepusha na 'me-time' ambayo inaweza kutuletea madhara mengi badala ya faida.
Subiri msukumo wa mwili ukishirikiana na ubongo wako
 
Ndo umezidi nn? Kama sis tunanunua condom wewe usiyenunua umetuzidi nn? Kwamba unataka wanaume wote tupige nyeto sababu condom zinauzwa?

Mimi sipo spritual attached na mikosi na Gundu plus uchafu . Hivi unajisikiaje unaenda Fanya ngono na Malaya? Uchafu mtupu ? That way hamna Maarifa kutwa 24/7 Akili zenu zinawaza ngono huwezi kuwa sawa na mpiga Punyeto kiakili kakuzidi Sana.
 
Sijasoma ila kwakuangalia tu comments umekosea sana[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mimi sipo spritual attached na mikosi na Gundu plus uchafu . Hivi unajisikiaje unaenda Fanya ngono na Malaya? Uchafu mtupu ? That way hamna Maarifa kutwa 24/7 Akili zenu zinawaza ngono huwezi kuwa sawa na mpiga Punyeto kiakili kakuzidi Sana.
Hahaha, twende taratibu. Malaya wametoka wapi? Hoja ni tendo halisi vs nyeto, kila mfanya tendo ni malaya? Uwepo wako ni matokeo ya nyeto?

Halafu haupo spiritual attached na uchafu huku unasapoti nyeto. Kuna usafi gani kwenye nyeto na porn?

Hakuna mtu anayejifungia chumbani na mafuta kwa siku bao 5 halafu awe na akili. Huyo ni teenager anayebalehe.
 
Ngona haina faida zaidi ya kuwa mtumwa wa Binadamu mwenzako
 
Maabara Mkuu
Mimi Nimelelewa na Nana
Sasa unataka Dunia nzima tuachane na tendo tuwekeze kwenye maabara ili tusiwe watumwa? NO. HAIWEZEKANI. TUTAENDELEA KUZAANA KWA MTINDO WA ASILI.

Halafu ni utumwa gani huo unaotokana na kumwingilia mwanamke?
 
Tafuta pesa ujikomboe Dunia haitaji kuwa mtumwa wa Wanawake nenda maabara. Utapata mtoto wako Safi na sio kuangaika na magonjwa mara kununua condom we need to get rid of such fucking life
 
Back
Top Bottom