KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Wakuu hili swala linaninyima raha kila siku ya uchao kwa mungu. Naumia roho zaidi hasa ninapo waona wenzangu wenye navyo(VITAMBI) jinsi wanavyopendeza..hasa wakichomekea kidogo alafu wakimalizia na moka chini ndio nakufa kabisa...nimejaribu kila njia ili na mimi angalau niwe nacho(KITAMBI) lakini wapi...kama unafahamu kitu kuhusu jinsi ya kupata hii kitu tafadhali ndugu nitupie..nimechoka na umbo la UBAO..
Hutaki flat screen sio. Haya bhana.
Dah haya majangaa... Duh. wenzio tunafanya kila mbinu tusivipate na vinakuja tu wewe unavikimbilia...???Wakuu hili swala linaninyima raha kila siku ya uchao kwa mungu. Naumia roho zaidi hasa ninapo waona wenzangu wenye navyo(VITAMBI) jinsi wanavyopendeza..hasa wakichomekea kidogo alafu wakimalizia na moka chini ndio nakufa kabisa...nimejaribu kila njia ili na mimi angalau niwe nacho(KITAMBI) lakini wapi...kama unafahamu kitu kuhusu jinsi ya kupata hii kitu tafadhali ndugu nitupie..nimechoka na umbo la UBAO..
Bugia hamira mkuu faster tu kitambi hichoooo.
Shukrani kaka kwa ushauri wakonimecheka kweli.usijali umri ukisogea sogea kitambi kitakuja tu.wadada wengi hawapendi wanaume wenye vitambi.mwili ukiwa wa mazoezi ukivaa utapendeza tu,sio lazima uwe na kitambi
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako...Bugia hamira mkuu faster tu kitambi hichoooo.
Ama kweli penye miti hapana wajenzi.
Nishauri mkuu ili namimi niwe napiga kipapaa na mashati ya ujiuji. Si unamuona Capt Komba anavyopendeza?Hii kali.