Nifanye nini au nile vitu gani ili na mimi niwe na KITAMBI?...

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
19,185
Reaction score
37,239
Wakuu hili swala linaninyima raha kila siku ya uchao kwa mungu. Naumia roho zaidi hasa ninapo waona wenzangu wenye navyo(VITAMBI) jinsi wanavyopendeza..hasa wakichomekea kidogo alafu wakimalizia na moka chini ndio nakufa kabisa...nimejaribu kila njia ili na mimi angalau niwe nacho(KITAMBI) lakini wapi...kama unafahamu kitu kuhusu jinsi ya kupata hii kitu tafadhali ndugu nitupie..nimechoka na umbo la UBAO..
 
Unajipenda au hujipendi? Yaani wenzako wanakokukimbia kwa sababu wameona kuna hatari wewe ndiyo unaelekea huko? Kama huamini maneno yangu, basi nakushauri ukamuone daktari halafu usiikie na yeye atakachosema. Naturally, our life as it is, is already troubled, so we do not have to look for more trouble!
 
Wakuu hili swala linaninyima raha kila siku ya uchao kwa mungu. Naumia roho zaidi hasa ninapo waona wenzangu wenye navyo(VITAMBI) jinsi wanavyopendeza..hasa wakichomekea kidogo alafu wakimalizia na moka chini ndio nakufa kabisa...nimejaribu kila njia ili na mimi angalau niwe nacho(KITAMBI) lakini wapi...kama unafahamu kitu kuhusu jinsi ya kupata hii kitu tafadhali ndugu nitupie..nimechoka na umbo la UBAO..
Dah haya majangaa... Duh. wenzio tunafanya kila mbinu tusivipate na vinakuja tu wewe unavikimbilia...???
 
nimecheka kweli.usijali umri ukisogea sogea kitambi kitakuja tu.wadada wengi hawapendi wanaume wenye vitambi.mwili ukiwa wa mazoezi ukivaa utapendeza tu,sio lazima uwe na kitambi
 
Shukrani kaka kwa ushauri wako
 
Umechoka flat screen unataka TV Chogo, haya ngoja wataalamu waje.
 
Back
Top Bottom