KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
- Thread starter
- #21
Hizo mambo huwa situmii mkuuKula kitimoto kutwa mala mbili ndani ya miezi miwili na laga zako angalau nne kila siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo mambo huwa situmii mkuuKula kitimoto kutwa mala mbili ndani ya miezi miwili na laga zako angalau nne kila siku.
Hizo mambo huwa situmii mkuu
Nilijua labda kuna special meal ukiacha huyo mdudu(NGURUWE)Sasa ushauri muhimu hutaki, unataka nini we bangi?
Asante sana mkuu Apolonary.Usiwe na mawazo sana, jiweke free all the time,
Mtu wa makamo tu....mkuu..Una umri gani kiongozi?
acha dharau wewe umeona picha ya dada unasema kakaShukrani kaka kwa ushauri wako
Wakuu hili swala linaninyima raha kila siku ya uchao kwa mungu. Naumia roho zaidi hasa ninapo waona wenzangu wenye navyo(VITAMBI) jinsi wanavyopendeza..hasa wakichomekea kidogo alafu wakimalizia na moka chini ndio nakufa kabisa...nimejaribu kila njia ili na mimi angalau niwe nacho(KITAMBI) lakini wapi...kama unafahamu kitu kuhusu jinsi ya kupata hii kitu tafadhali ndugu nitupie..nimechoka na umbo la UBAO..
teh teh teh teh...... mbona wachekesha ndugu yangu. Hivyo ulivyo ndio sawa kaka. watu wenye navyo wanapigana kuvitoa, hivyo vina madhara katika mambo yetu yalee yakugegedaga....Wakuu hili swala linaninyima raha kila siku ya uchao kwa mungu. Naumia roho zaidi hasa ninapo waona wenzangu wenye navyo(VITAMBI) jinsi wanavyopendeza..hasa wakichomekea kidogo alafu wakimalizia na moka chini ndio nakufa kabisa...nimejaribu kila njia ili na mimi angalau niwe nacho(KITAMBI) lakini wapi...kama unafahamu kitu kuhusu jinsi ya kupata hii kitu tafadhali ndugu nitupie..nimechoka na umbo la UBAO..
Kweli wewe unaona mbali..mwanaume ukiwa slim sana ni noma hata pamba ukivaa yaani kama zipo kwenye enga zimetundikwa....am tired of this..Ila kiukweli mwanaume ukiwa mwembamba sana hupendezi...ukichomekea shati shida..ukivaa tshirt ndo km mwanafunzi....muscles kidogo sawaa ...si kitambi km komba
Samahani sana Dada yangu..si unajua avatar za jf huwezi jua..mwengne anaweka avator ya mnyama je utasema yeye ni mnyama..?acha dharau wewe umeona picha ya dada unasema kaka
Hahahahahaha wewe muuaji jamani lolBugia hamira mkuu faster tu kitambi hichoooo.
Thanks in advance..Anza ratiba ya uji wa ulezi kila siku asubuhi na jioni. Utajua kwann kina mama wananawiri wakiwa uzazi