Nifanye nini au nile vitu gani ili na mimi niwe na KITAMBI?...

Ila kiukweli mwanaume ukiwa mwembamba sana hupendezi...ukichomekea shati shida..ukivaa tshirt ndo km mwanafunzi....muscles kidogo sawaa ...si kitambi km komba
 

Kitambi/Belly ni sababu ya too much depostion of Fat on abdomen just on the umbilicus
Hivo kama unaitaka hiyo theory anza kunywa mafuta ya uto ili ya accumulate kwenye belly
Check my signature by the way
 
jamaa hayupo serious kabisaa.Kitambi tena??Ule wimbo wa Bambo hujawahi kuusikia ww?
 
Ha ha ha umefunika!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
teh teh teh teh...... mbona wachekesha ndugu yangu. Hivyo ulivyo ndio sawa kaka. watu wenye navyo wanapigana kuvitoa, hivyo vina madhara katika mambo yetu yalee yakugegedaga....
 
Ila kiukweli mwanaume ukiwa mwembamba sana hupendezi...ukichomekea shati shida..ukivaa tshirt ndo km mwanafunzi....muscles kidogo sawaa ...si kitambi km komba
Kweli wewe unaona mbali..mwanaume ukiwa slim sana ni noma hata pamba ukivaa yaani kama zipo kwenye enga zimetundikwa....am tired of this..
 
Anza ratiba ya uji wa ulezi kila siku asubuhi na jioni. Utajua kwann kina mama wananawiri wakiwa uzazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…