Nifanye nini au nile vitu gani ili na mimi niwe na KITAMBI?...

Pitia huu...Kitambi--bambo!! Vitambi ni janga la taifa na ndoa!!
 
teh teh teh teh...... mbona wachekesha ndugu yangu. Hivyo ulivyo ndio sawa kaka. watu wenye navyo wanapigana kuvitoa, hivyo vina madhara katika mambo yetu yalee yakugegedaga....

Acha kumdanganya mbona mie ninacho ila hakizuii kugegeda???kwa hiyo unasema na wa dada wenye minyama uzembe na wao wakiwa na gegedwa hawafurahii tendooooo😀😀😀
 
Kitambi sio mkuu..mimi nilikuwa mwembamba kiasi kwamba hata nikipanda juu ya nyanya haipasuki..teh!!! Ila siku hizi si haba na kakitambi kapo kapo..tatizo kugegeda spidi inapungua..pili najihisi kuwa mzito na kuchoka mapema hata kwa issue ndogo..tatu nahisi magonjwa nyemelezi ya moyo kama pressure ...Ushauri: Achana wazo la kupata hiyo kitu..hatari ni kubwa kuliko faida.
 
Kwa sie tuliosoma saikoloji mtoa mada amekuja kama kuchalenji tu! Mtoa mada ana kitambi amekuja kujua madhara ya kitambi ni nini? Ila ameuliza indirect maana angeenda moja kwa moja mngempiga madongo sana!! Kitambi noma mazoezi muhimu swala la kugegeda ni pana ni pumzi na stamina,kusalimika ni ngumu kama hamtoacha zinaa kumaintain ni kazi kama hauna stamina 24/7 ushauri wangu ni classic.
 
Nashukuru sana kaka kwa ushauri wako..
 
mmmh nimecheka jamani...mi nakushauri kuupenda mwili wako kama ulivyo itafika muda kitambi kitakuja na hutakipenda.
 
kunywa mafuta ya kula. vikombe vitatu kwa siku.asubuh.mchana na usiku
 

ona naye huyu kwa mambo kama haya unakesha tu jf haichoshi sirikali tafadhari msimsikilize yule mbunge kilaza mganga njaa msitufungie mtandao wetu
 
anza kula kachori walahi wiki mbili nyingi ki deep freezer utakiona
 
Dah..nimecheka sana aisee..eti umbo la ubao..wakati wengine wanavichukia wewe unakililia..but anyway mimi sio mtaalamu sana wa lishe,lakini naamini wadau watakusaidia.
 
kula hapo hapo ulale, kula wanga kwa wingi na sukari i mean vitu ka soda bia na junk food kula kilaunapopata mda tumbo lako lisikie njaa kabisa.

angalizo sukari na pressure vitakuwa ure patner. i thnk u have a good body.
 
nimechekaje! we unakimbilia motooooooooooooooo!huogopi kuuungua! sukari, pressure, stamina ndogo ya nanii, vyote huambatana na kitambi! usitamani, vaa tu kulingana na umbo lako utapendeza! au mdada ndo anakuambia uongeze kidogo mwili?
 

ndo tatizo la kuwa unasikiliza sana bongo fleva,ushakuwa addicted sasa,stamina ashakuharibu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…