Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
teh teh teh teh...... mbona wachekesha ndugu yangu. Hivyo ulivyo ndio sawa kaka. watu wenye navyo wanapigana kuvitoa, hivyo vina madhara katika mambo yetu yalee yakugegedaga....
Nashukuru sana kaka kwa ushauri wako..Kitambi sio mkuu..mimi nilikuwa mwembamba kiasi kwamba hata nikipanda juu ya nyanya haipasuki..teh!!! Ila siku hizi si haba na kakitambi kapo kapo..tatizo kugegeda spidi inapungua..pili najihisi kuwa mzito na kuchoka mapema hata kwa issue ndogo..tatu nahisi magonjwa nyemelezi ya moyo kama pressure ...Ushauri: Achana wazo la kupata hiyo kitu..hatari ni kubwa kuliko faida.
Nishauri mkuu ili namimi niwe napiga kipapaa na mashati ya ujiuji. Si unamuona Capt Komba anavyopendeza?
Wakuu hili swala linaninyima raha kila siku ya uchao kwa mungu. Naumia roho zaidi hasa ninapo waona wenzangu wenye navyo(VITAMBI) jinsi wanavyopendeza..hasa wakichomekea kidogo alafu wakimalizia na moka chini ndio nakufa kabisa...nimejaribu kila njia ili na mimi angalau niwe nacho(KITAMBI) lakini wapi...kama unafahamu kitu kuhusu jinsi ya kupata hii kitu tafadhali ndugu nitupie..nimechoka na umbo la UBAO..
kunywa mafuta ya kula. vikombe vitatu kwa siku.asubuh.mchana na usiku
Kwa sie tuliosoma
saikoloji mtoa mada amekuja kama kuchalenji tu! Mtoa mada ana kitambi
amekuja kujua madhara ya kitambi ni nini? Ila ameuliza indirect maana
angeenda moja kwa moja mngempiga madongo sana!! Kitambi noma mazoezi
muhimu swala la kugegeda ni pana ni pumzi na stamina,kusalimika ni ngumu
kama hamtoacha zinaa kumaintain ni kazi kama hauna stamina 24/7 ushauri
wangu ni classic.