Nifanye nini ili aniamini

Hey Marry, nakupa pole sababu jamaa hana time na ww tena ila anataka amege tunda kwanza then athaminishe na muda uliomsumbua. Mimi binafsi kuna binti nilimpenda sana toka 2006 hivi akanizingua lkn 2011 akaja nitafuta, kwa kuwa nilikuwa nishamtamkia nampenda nilijiachia kwake. Lakini nasikitika kwamba nimemwacha baada ya kula mwaka mzima, so take care.
 

Kwenye bold sawasawa umenena
Kwenye blue tayari keshaingia kwenye mapenzi na ngono wanafanya.........Itakuwaje?
Kwenye red hapo sasa hofu ya kijana ndipo itapaa...atauliza kulikoni tena kunikwepa
 
Unaogopa mimba kuliko zinaa siyo? Ukimwi mmeshapima? Ingia kwenye ndoa naye aanze kukulipizia.... Chezeya sisi vidume?

tumepima bishanga,nampenda kwa sasa tena sana ila masharti yake magumu sana kwa nini anijaza mimba kabla hajanioa
 
khaaaaa! Yaani kumbe mnajijuaga kuwa mnatulipizia! Lol!

huwa natafakari sana,pengine kuwa anataka kunifanyia revengi coz nilomfanyia ni mengi ya kumkwaza na bado yupo, sema nimejitoa muhanga this time akisepa poa tu sitamng'ang'ania
 

Bi mkubwa kabla sijakupa ushauri wangu labda ningekuuliza kitu kidogo, what made you change your mind about him now? kabla ya kuamua kumkubali nini kimetokea kwenye mahusiano yako yaliyopita (nataka nipate picha ya reason ya wewe kuamua kubadili mawazo now) hii itasaidia kukushauri even if your feelings are really or just a wind which might pass after a while na kuanza kumuona vile vile ulivyokuwa unamuona mara tatu zilizopita alizopropose
 

asante sana dada mkubwa kwa ushauri
 

Kongosho unajua nini mpenzi, mimi mwenyewe simjui baba yangu alikula kona ya kulea na hata hakutaka kuwajua watoto wake, hiyo imeniuma sana sipendi mwangu aishi maisha hayo na ndio maana napenda nazae nikiwa ndoani kama mungu akijaalia, ili watoto wangu wapate kumjua na kumpanda baba yao
 

Akasome pia na Uzi wa felixonfelix kuhusu wanawake kuingia mkenge. Siku zoote ulikuwa unamkataa kwa nini? Na kwa nini sasa umemuona anafaa? Uko desperate kuolewa tu, na ukiishakaa na Pete kidoleni utajuta Kama sio kujutishwa!

Note: revenge is the meal best served cold (saa zingine najichungulia baiolojia yang manake nahisi nakuwa Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Kama mshkaji anaharaka sana si mfunge ndoa tu hata kesho au wewe unamuwekea pingamizi akitaka kukuoa fasta fasta?


anataka ndoa ifungwe ila sharti ni kunijaza kwanza ujauzito, ana wasi wasi na mimi eti naweza badilisha mawazo

kingine anataka akiwa na miaka 35 awe na mtoto ambayo atatimiza mwaka kesho mwezi wa tano, nampenda sana ila sharti la kuzaa kabla ya ndoa ni gumu sana kwangu,
 
 
Natamani kujua ni kipi kilichokufanya urudishe majeshi nyuma baada ya kumdengulia mara tatu zote?
Kwa nini iwe sasa ndo ulegeze kamba? Ni vigumu kwa sasa kutoa ushauri wowote zaidi sana utakuwa usiona mashiko. WANAWAKE VIUMBE WA AJABU SANA TENA SANA.
 

hakunivutia kwa sura kwa mara ya kwanza ndo , ila matendo yake ni mienendo yake ya maisha, uvumilivu wake na uelewa wake ndo ulionivutia kipindi hiki, sitamani kumpoteza kabisa, kuhusu kutamini ndoa hapana dada yangu yaani hiyo sio priority kabisa kwangu nilikuwa tayari kuishi singo kama sitakutana na mwanaume mwenye vitu ninvyovitaka, wapo wiwili walotaka kunioa nikawachingia baharini as hawakukidhi matakwa yangu kwa huyo nimepunguza la sura, mambo mengine yote tunaelewana saaaaan
 

shostito King'asti kuna post nime mquote boss some where jana nafikir niliainisha haya unayoyasema ilikuwa ni kwenye uzi wa Mbu ngoja niiangalie halafu nitakupostia.
 
Last edited by a moderator:

nimekutana na makorokoro ya kutosha tu kwenye mahusiano yaliyopita siwezi kuyaelezea hapa, in short nilikuwa napenda wauza sura, mwenye maumbo mazuri warefu, wapana wapan dezain, kama mapower vile hehehe, sasa hivi nimegundua mwonekano hauna mashiko bali ni tabia njema na njisi mtu anayokuthamini na kukujali, on top of that in mvumilivu sana sijawahi ona, pamoja na uelewa wake ndo vilivyonifanya nikakubali haraka haraka,


note katika hiyo miaka kumi na mbili sita ya mwanzo alikuwa rafiki yangu wa kawaida kabla hajanza kuleta hizo proposal, tunashare intersest nyingi mmo, tunaelewana kwa kila kitu tatizo ni mwonekanao wake,tunalingana urefu na mimi nilipenda mwanaume anaenizidi urefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…