Nifanye nini ili huyu mrembo asinikimbie katika maisha haya?

Nifanye nini ili huyu mrembo asinikimbie katika maisha haya?

ata ivo kukubalia pekee anamoyo sana....mshukuru kwa hilo..maana geto kama hilo ndoto anazoota mtoto wa watu ni kama vike kukabwa na wachawi,vibwengo,kukimbizwa na chui uku una mguu mmoja,,kuota umeichagua ccm,,kuota umekabwa na mihogo,,kwakweli natarajia lazima mdada wa watu usiku anaota ndoto mbaya sana..give her the break
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We ukinikubalia ntaachana na huyu nikuweke wewe
Hahaaa, basi njoo tuyajenge aisee Mrs full suti miye, kuna mkuu kasema wapita njia,majirani full kusikia harufu ya mishkaki[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji23][emoji23]Tukifanya kulinganisha na lile geto la Ndege John,,geto la ndege ni kama 5star hotel wakati hili ni kilogde cha mtaani tu..
😂😂😂😂😂😂😂 hili banda la mkaa kabisa
 
Naona umepiga full suti mkuu, bati kuanzia msingi mpaka kuezeka noma sana, kipindi cha joto inakua kama mpo kwenye kikaangio[emoji3] [emoji3] .ila safi sana pambanaa. Bibie asikukimbie bana hata mbuyu ulianza kama mchicha mbona
Nataka tuanze maisha pamoja nami geto langu lipo hivyo hivyo...vipi upo tayari😂😂😂
 
Back
Top Bottom