Nifanye nini ili huyu mrembo asinikimbie katika maisha haya?

Nifanye nini ili huyu mrembo asinikimbie katika maisha haya?

Nataka tuanze maisha pamoja nami geto langu lipo hivyo hivyo...vipi upo tayari[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa, kwasababu nimekupenda tutaanza tuu ,ila uwe tayari kutafuta sehemu Nyingine within 2 days[emoji3] [emoji3] [emoji3] otherwise nakuacha na suti yako naenda Kwa vibopaa
 
Wanawake wana moyo wa chuma hivyo mwache huru huyo atadumu na wewe
 
Back
Top Bottom