Khaa hiyo veepe?Kwakweli muache aende, khaaa !
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ata ivo kukubalia pekee anamoyo sana....mshukuru kwa hilo..maana geto kama hilo ndoto anazoota mtoto wa watu ni kama vike kukabwa na wachawi,vibwengo,kukimbizwa na chui uku una mguu mmoja,,kuota umeichagua ccm,,kuota umekabwa na mihogo,,kwakweli natarajia lazima mdada wa watu usiku anaota ndoto mbaya sana..give her the break
Eeh atafute mmoja kati ya wale 900 kutoka gambosh sio???Mpige kombora la kienyeji kwa Sir Ngoma (Inter-Continental Ballistic Missile ICBM).
Sio kwa gheto hilo babu !Khaa hiyo veepe?
Hahaaa, hiyo nafasi hainitoshi mkuu, maana kwenye full suti si mchezo yataka moyooJiweke nafasi ya huyo bibie[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa, basi njoo tuyajenge aisee Mrs full suti miye, kuna mkuu kasema wapita njia,majirani full kusikia harufu ya mishkaki[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]We ukinikubalia ntaachana na huyu nikuweke wewe
Eeh atafute mmoja kati ya wale 900 kutoka gambosh sio???
Jua likiwaka hapo mchana waliopo nje wapita njia watabaki wakiskia harufu ya nyama choma
πππππππ hili banda la mkaa kabisa[emoji23][emoji23]Tukifanya kulinganisha na lile geto la Ndege John,,geto la ndege ni kama 5star hotel wakati hili ni kilogde cha mtaani tu..
Nataka tuanze maisha pamoja nami geto langu lipo hivyo hivyo...vipi upo tayariπππNaona umepiga full suti mkuu, bati kuanzia msingi mpaka kuezeka noma sana, kipindi cha joto inakua kama mpo kwenye kikaangio[emoji3] [emoji3] .ila safi sana pambanaa. Bibie asikukimbie bana hata mbuyu ulianza kama mchicha mbona
π€£π€£π€£ umecheka hadi nami nimefurahi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umecheka hadi nami nimefurahi
Sasa wahisi Kuna ugumu gani kuhama hapo?Kilahisi hivo?