Nifanye nini ili nionekane mtu mwenye busara tele?

Nifanye nini ili nionekane mtu mwenye busara tele?

Ikiwezekana nyoa kipara na bakisha nywele kidogo maeneo ya utosini[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mpinge jpm kwenye mkutano wake wa hadhara#uone jinsi utapata busara yakujibu automatic yan
 
Utampoteza mkuu
Hapitei kaka huwez kua na busara tele bila kua na inspiratio na kaya ndio trusted source ya inspiration

Pata mashair kwanza ya ganja planter uongeze hekima

Tru jah jah bless I with nuff a good vibes man
And true mi a di artist with di ganja inna di land
Make doctors get nuff medication
And so dem coulda give it to dem sick patients
Make get chemists get nuff medication
And so dem coulda brew new medication
Make singers get some inspiration
And so dem coulda spread jah message pon di land... Me a chant
 
kuwa mtu mkimya, mtulivu, usiye na papara ni moja ya vitu vinavyosaidia kuonyesha una busara.
 
Kuwa unafanya mazoezi ya kufunga kuongea.unaongea tuu pale inapobidi.kama ukiongeleshwa tu.kwa mwezi mmoja
 
Fanya mambo kwa kiasi
Usile mpaka ushibe
Ukipishana na mwanamke usimuangalie makalio yake.
Pia epuka kugombea daladala na akina mama,usikae vijiweni na tena usivae mlegezo wala kunyoa kiduku.
 
Wakuu nataka nionekane mtu mwenye busara na hekima tele ila sijui pa kuanzia ,nifanye nini ili niwe mtu wa busara?
Igiza kama mtu mwenye busara nakuyafanya hayo maisha kuwa yako. Ukijenga mazoea inakuwa tabia.Mwisho wa siku unakuwa mtu wa busara milele
 
Kaa kwenye kioo Uchi Dhen Anza kuongea kwa Nguvu halafu tumia Viungo vya ko pindi Unapoongea itakusaidia kuwa Wise Man
 
Back
Top Bottom