Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais wa nchi gani kaka?!..Sikiliza sana hotuba za watu makini na wenye busara na hekima kama mh rais... itakusaidia mno
Utampoteza mkuuKeep calm and smoke your weed
Utakua zaid mfalme suleman
Nikiona post kama hizi I feel so rahaKeep calm and smoke your weed
Utakua zaid mfalme suleman
Hapitei kaka huwez kua na busara tele bila kua na inspiratio na kaya ndio trusted source ya inspirationUtampoteza mkuu
Irie rastaNikiona post kama hizi I feel so raha
Igiza kama mtu mwenye busara nakuyafanya hayo maisha kuwa yako. Ukijenga mazoea inakuwa tabia.Mwisho wa siku unakuwa mtu wa busara mileleWakuu nataka nionekane mtu mwenye busara na hekima tele ila sijui pa kuanzia ,nifanye nini ili niwe mtu wa busara?