Nifanye nini ili nionekane mtu mwenye busara tele?

Unataka kuonekana mtu mwenye busara au unataka kuwa mtu mwenye busara?.
 
Nyoa kipara, usivae nguo za vijana hizi, then nyoosha nguo zako vizuri na ukivaa chomekea
 
Wakuu nataka nionekane mtu mwenye busara na hekima tele ila sijui pa kuanzia ,nifanye nini ili niwe mtu wa busara?
[HASHTAG]#JIKUBALI[/HASHTAG]
KAMA WEWE NI MROPOKAJI HIYO NDIO TABIA YAKO
 
Wakuu nataka nionekane mtu mwenye busara na hekima tele ila sijui pa kuanzia ,nifanye nini ili niwe mtu wa busara?
Kuwa mwenye busara! Busara hainaga kuigiza!
 
Mfalme Suleiman naye alifanya kama hivi unavyomshauri kijana?

KUMCHA BWANA ni chanzo cha maarifa na busara na hekima.
 
Simple way ya kuonekana una busara ni kuwa kimya, kwasababu kama una pumba kichwani ukiongea tu utazitema zote.

Waangalie wanasiasa, wakiongozwa na Trump.
Nyerere alikuwa mkimya? Obama jee ?

Nadhani bado issue ya ukimya haimtoshi mtu kuwa mwenye busara. ....
busara inaonekana na kusikika so ukiwa mkimya nobody will ever notice any word of your wisdom.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…