Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais wa wapi?Sikiliza sana hotuba za watu makini na wenye busara na hekima kama mh rais... itakusaidia mno
Umenikumbusha kitu kikubwa sana mkuu!Jiwekee ratiba ya kusoma biblia kila siku hata kama ni muislam.... utabadilika baada ya mwezi wenzako watakushangaa..
[HASHTAG]#JIKUBALI[/HASHTAG]Wakuu nataka nionekane mtu mwenye busara na hekima tele ila sijui pa kuanzia ,nifanye nini ili niwe mtu wa busara?
Kuwa mwenye busara! Busara hainaga kuigiza!Wakuu nataka nionekane mtu mwenye busara na hekima tele ila sijui pa kuanzia ,nifanye nini ili niwe mtu wa busara?
Kwani saivi unaonekaje?Wakuu nataka nionekane mtu mwenye busara na hekima tele ila sijui pa kuanzia ,nifanye nini ili niwe mtu wa busara?
Anataka afanye bongo movie kwenye maishaKuwa mwenye busara! Busara hainaga kuigiza!
Mfalme Suleiman naye alifanya kama hivi unavyomshauri kijana?Vaa smart, usiwe too much talkertive,usiwe na papara yaani usiwe na mapepe,angalia movies na soma sana vitabu vya ziada ili uwe unaongea na kutenda point,ji socialize na wenye busara zaidi, ibada muhimu ila usipitilize maana unaweza kuwa complicator,ishi kwa ratiba yaani maisha yako ya kila siku yagawanye kwa masaa,penda kufuatilia field mbali mbali ili uwe na uelewa mpana.Anza na hayo mengine kesho nitarudi
Nyerere alikuwa mkimya? Obama jee ?Simple way ya kuonekana una busara ni kuwa kimya, kwasababu kama una pumba kichwani ukiongea tu utazitema zote.
Waangalie wanasiasa, wakiongozwa na Trump.