spinderella
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,393
- 1,905
makubwa tena mkuu?Mmmh makubwa hayo, haya ntajitahidi mpendwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Chungu tamu..Mwacheni Mungu tumtukuze jamani na uchungu wote huo ulirudia ule mchezoo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15]
Vitu gani hivyo mupz??Maziezi halafu usile vile vitu wabibi walikuwa hawali
Yaan Mkuu hatuna namna, ukitaka uheshimike ktk jamii yko na ndoa yko inabidi ufyatue, maumivu yapo tena sna ila tumeumbiwa kusahau!!!Mwacheni Mungu tumtukuze jamani na uchungu wote huo ulirudia ule mchezoo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15]
Kama mayaiVitu gani hivyo mupz??
Na inarudi kuwa mpyaFANYA MAZOEZ KWA WINGI HUDHURIA CLINIC NA UMWELEZE MUUGUZI ATAKUSHAURI NA AINA ZA VYAKULA VYA KULA NA VYAKUACHA......KILA LA KHEI ILA SIKUWA NAJUA KUWA MNACHANIKA NA INASHONWA DAH NAJARIB KUVUTA PICHA HAIJI.....MUNGU AKUJAALIE YASIJIRUD TENA
5mounthSkia mimba yako ina miezi mingapi Sasa
Hongera zako! Ubarikiwe sana..! Mungu akupe uvumilivu wa hayo yote!Yaan Mkuu hatuna namna, ukitaka uheshimike ktk jamii yko na ndoa yko inabidi ufyatue, maumivu yapo tena sna ila tumeumbiwa kusahau!!!
Eeh huko Kudo kila siku ndo mtihan mwenzangumakubwa tena mkuu?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]My mind drifts off to you
My mind drifts off to you4 future ref.
Wakuu naona mnashangaaa kuchanika, mbona kawaida tu. Unashonwa then inarudi kama mwanzo. Tena haujulikani kama ilishonwa unakua kama binti wa miaka14 vilee[emoji108]FANYA MAZOEZ KWA WINGI HUDHURIA CLINIC NA UMWELEZE MUUGUZI ATAKUSHAURI NA AINA ZA VYAKULA VYA KULA NA VYAKUACHA......KILA LA KHEI ILA SIKUWA NAJUA KUWA MNACHANIKA NA INASHONWA DAH NAJARIB KUVUTA PICHA HAIJI.....MUNGU AKUJAALIE YASIJIRUD TENA
Mwambie shogaangu tatizo hawaamini ule mwezi mmoja unapigwa Maji ikitoka hapo, kama vile haijazaa yaan..Na inarudi kuwa mpya
Hapo huezi kumwambia Dr akushone AF abakize km ya mtoto kweli!?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] natania tu ...Mwenyewe nasubiria baby mama wangu siku zifike bt na yeye Jana kapigwa ultra sound kaambiwa mtoto ni mkubwa (hapo nahc atahitaji operation)ingawa Dr hakusema moja kwa moja..na hpo ndo 2 weeks itimie miez 9Wakuu naona mnashangaaa kuchanika, mbona kawaida tu. Unashonwa then inarudi kama mwanzo. Tena haujulikani kama ilishonwa unakua kama binti wa miaka14 vilee[emoji108]
Ulijuaje kama napenda sna mayai na maziwa ya mtindi yaan siku haipiti bila kula, ila ntajitahidi nipunguze mwenzanguKama mayai