Nifanye nini ili nisichanike wakati wa kujifungua

Wengi huchanika wakati wakijufungua watoto kwa mimba ya kwanza lakini ya pili na kuendelea sio rahisi labda mtoto awe mkubwa sana au kuwe na other extra ordinary circumstances. Ila ni muhimu miezi mitatu ya mwisho (third trimester) upunguze kula vyakula vya uwanga na sukari maana ni muda huu ndio mtoto hunenepa huko tumboni.
 
FANYA MAZOEZ KWA WINGI HUDHURIA CLINIC NA UMWELEZE MUUGUZI ATAKUSHAURI NA AINA ZA VYAKULA VYA KULA NA VYAKUACHA......KILA LA KHEI ILA SIKUWA NAJUA KUWA MNACHANIKA NA INASHONWA DAH NAJARIB KUVUTA PICHA HAIJI.....MUNGU AKUJAALIE YASIJIRUD TENA
 
Mwacheni Mungu tumtukuze jamani na uchungu wote huo ulirudia ule mchezoo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15]
Yaan Mkuu hatuna namna, ukitaka uheshimike ktk jamii yko na ndoa yko inabidi ufyatue, maumivu yapo tena sna ila tumeumbiwa kusahau!!!
 
FANYA MAZOEZ KWA WINGI HUDHURIA CLINIC NA UMWELEZE MUUGUZI ATAKUSHAURI NA AINA ZA VYAKULA VYA KULA NA VYAKUACHA......KILA LA KHEI ILA SIKUWA NAJUA KUWA MNACHANIKA NA INASHONWA DAH NAJARIB KUVUTA PICHA HAIJI.....MUNGU AKUJAALIE YASIJIRUD TENA
Na inarudi kuwa mpya
 
Wakuu naona mnashangaaa kuchanika, mbona kawaida tu. Unashonwa then inarudi kama mwanzo. Tena haujulikani kama ilishonwa unakua kama binti wa miaka14 vilee[emoji108]
 
Hapo huezi kumwambia Dr akushone AF abakize km ya mtoto kweli!?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] natania tu ...Mwenyewe nasubiria baby mama wangu siku zifike bt na yeye Jana kapigwa ultra sound kaambiwa mtoto ni mkubwa (hapo nahc atahitaji operation)ingawa Dr hakusema moja kwa moja..na hpo ndo 2 weeks itimie miez 9
 
Back
Top Bottom