spinderella
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,393
- 1,905
Wengi huchanika wakati wakijufungua watoto kwa mimba ya kwanza lakini ya pili na kuendelea sio rahisi labda mtoto awe mkubwa sana au kuwe na other extra ordinary circumstances. Ila ni muhimu miezi mitatu ya mwisho (third trimester) upunguze kula vyakula vya uwanga na sukari maana ni muda huu ndio mtoto hunenepa huko tumboni.