Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 408
- Thread starter
- #41
Hongera zako ngoja ajifungue alafu akichanika akishonwa, utakuja kuniambia kama utajua kama imeshonwa.Hapo huezi kumwambia Dr akushone AF abakize km ya mtoto kweli!?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] natania tu ...Mwenyewe nasubiria baby mama wangu siku zifike bt na yeye Jana kapigwa ultra sound kaambiwa mtoto ni mkubwa (hapo nahc atahitaji operation)ingawa Dr hakusema moja kwa moja..na hpo ndo 2 weeks itimie miez 9
Haya mambo Mkuu Mungu mwenyewe ndo anajua uumbaji wake. Tena zaman nilikua najua mwanamke akizaa hana soko tena. Kumbe sio ni akili za utoto.