Nifanye nini ili nisichanike wakati wa kujifungua

Nifanye nini ili nisichanike wakati wa kujifungua

Hapo huezi kumwambia Dr akushone AF abakize km ya mtoto kweli!?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] natania tu ...Mwenyewe nasubiria baby mama wangu siku zifike bt na yeye Jana kapigwa ultra sound kaambiwa mtoto ni mkubwa (hapo nahc atahitaji operation)ingawa Dr hakusema moja kwa moja..na hpo ndo 2 weeks itimie miez 9
Hongera zako ngoja ajifungue alafu akichanika akishonwa, utakuja kuniambia kama utajua kama imeshonwa.

Haya mambo Mkuu Mungu mwenyewe ndo anajua uumbaji wake. Tena zaman nilikua najua mwanamke akizaa hana soko tena. Kumbe sio ni akili za utoto.
 
Na inarudi kuwa mpya
Hivi kumbe hawa madogo ni waharibifu wa naniliiuu zetu..[emoji23] [emoji23]

Itabidi wawe wanapitia mdomoni sasa huku chini km wanasababisha uharibifu mkubwa hivi.
 
Asimnyime MZEE huduma ili njia isiote kutu,hii tunaiita fungua njia,kama MZEE yuko mbali ni pm nitakusaidia[emoji87] [emoji87]
 
Ukikaribia kujifungua mwambie mumeo ajitahidi sana kupanua njia tena awe anapaka KY kwani inatanua uke sana.

Pia ulaji wa asali iliyopo kwenye maji ya moto inasaidia
 
Wakuu naona mnashangaaa kuchanika, mbona kawaida tu. Unashonwa then inarudi kama mwanzo. Tena haujulikani kama ilishonwa unakua kama binti wa miaka14 vilee[emoji108]
Dah basi ktk lile tangazo la kutafuta mke nitaweka kipaumbele ALIYESHONWAAAAAAAAAA
 
Ukikaribia kujifungua mwambie mumeo ajitahidi sana kupanua njia tena awe anapaka KY kwani inatanua uke sana.

Pia ulaji wa asali iliyopo kwenye maji ya moto inasaidia
Tuheshiamiane mkuu, kama huna point kaa kimyaaa naona uhuru unazidi mipaka.
 
Mshaur mumeo umpe papuch ili mbegu zake zikalainishe njia zako za uzaz hata ukiweza mpe kila cku mpaka siku ya kujifungua ifike asante. Kumbuka ukishindwa tutakuchoma oxytocin iv
 
Kula asali na mananasi kwa wingi, nanasi linasaidia sana kufungua njia, usile mimba ikiwa changa bali ukikaribia miezi ya kujifungua.
 
Mmh hii kali!uchungu MKALI sana,siku MBILI mfululizo na maji ya uchungu juu.Hii bado iko kwenye boksi.
 
Samahani kwa swali hili nitakalo kuuliza......

Uliwahi kufanyiwa tohara (kukeketwa) ?
 
Wengi huchanika wakati wakijufungua watoto kwa mimba ya kwanza lakini ya pili na kuendelea sio rahisi labda mtoto awe mkubwa sana au kuwe na other extra ordinary circumstances. Ila ni muhimu miezi mitatu ya mwisho (third trimester) upunguze kula vyakula vya uwanga na sukari maana ni muda huu ndio mtoto hunenepa huko tumboni.
Wale Chakula gani sasa? Toa mfano Tafadhali
 
Habari zenu wapendwa.

Bila kupoteza muda naomba ushauri wenu humu ndani.

Tatizo nililo nalo wakati najifungua mtoto wangu wa kwanza niliumwa uchungu mkali sna kwa muda mrefu kama siku 2 hivi bila kupumzika wala kukata mpaka nikawekewa drip ya uchungu, na baadae njia ikafunguka nikajifungua vizuri tu, ila sasa mtoto alitoka akiwa na kilo 4 na alinichana sana kiasi kwamba nilishonwa nyuzi za kutosha, halafu ndio mimba Yangu ya kwanza.

1) Sasa hivi ni mjamzito tena, naomba ushauri nifanye nn ili nisiumwe kwa muda mrefu na uchungu.

2)Nifanye nini ili nisichanike wakati wa kujifungua.

Nawasilisha..
Kuchanika wakati wa kujifungua si suala la kujikinga simply inatokana na kitangulizi cha Mtoto kuwa kikubwa mfano mtoto uliyemzaa wa kilo 4 lzm atakuwa na kichwa kikubwa ambacho ili kitoke lzm uongezwe njia aka Episiotomy au kama mkunga atakuwa si makini utachanika,solution pekee ambayo ni vgm kuitimiza ni kuzaa mtoto mdogo na mkunga kuwa makini kusupport msamba wakati wa kichwa kutoka akiona imeshindikana akuongezee njia ili kuzuia kuchanika sana!Inashauriwa mtoto azaliwe na uzito kati ya 2.5 -3.5 kg ila akizidi hapo ni shida na kuzaa mtoto mdogo wa km 2.5kg wala si shida baada ya muda ana gain uzito faster!
 
Back
Top Bottom