Penologist
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 790
- 1,923
Unatafuta matatizo wewe rizika na ulicho nacho,siku ukipata kaswende na fungus uje utusumbue hospitali nzuri ni ip.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikiaga eti na yule mzee naye anavutaga sijui kweli.!?siku hizi bangi ikichanganywa na tumbaku haileti madhara kbs
Sanchi anashinda elements pale ila dau lake kubwa wale wa nigeria ndio wanamuuza
Kulizika tena.! Wakati motivation speaker wanatuambie tuzilizike kwenye mafanikioUnatafuta matatizo wewe rizika na ulicho nacho,siku ukipata kaswende na fungus uje utusumbue hospitali nzuri ni ip.
Mkuu penye nia pana njia. Zigo lazima nilimilikiKama ni bahili na huna hela na sura yako haivutii kiviile sahau hilo jambo mkuu maana hata bahati haitakudondokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazigo yananikosesha usingizi braza..Kijana nini tatizo?! Vyuma vimekaza ama
Tanzania ya viwanda.
Mimi sina ndoto na sijawahi kuwa na ndoto...😂😂😂😂
We ndoto yako ipi? Ninong'oneze
Sasa we umetisha kuliko huyu wa makalioMimi sina ndoto na sijawahi kuwa na ndoto...
Nimeamini, Kila mtu ana ndoto
ahsanteSasa we umetisha kuliko huyu wa makalio
Ni vyema kutimiza hitaj la moyo wako..
Onyo; utakuwa na wivu/stress nying, coz ni wanawake ambao wanaangaliwa na watu na wanaume weng huwashobokea.
Kuna dada nilikuwa nae , ana tako kubwa kama ubungo mpaka kibaha. Stress zake sasa, aaagh, miez miwil tu nikaacha aende,.
ukikaa nae sehem macho yote kwenu, na kadhia kadhia nying, nikashindwa kuvumilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nakubali,Hakuna asie na ndotoNimeamini, Kila mtu ana ndoto
utapata ila usisahau kutupa mrejesho ili tuweke kwenye hanzadiMazigo yananikosesha usingizi braza..