antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Anaulizia biashara mkuu... Siyo KamariLeo kuna arsenal na Chelsea wanacheza mkuu mkuu!!! Chukua million mmoja wawekee, profit ni million 2 mama. ambayo unaipata within one day.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaulizia biashara mkuu... Siyo KamariLeo kuna arsenal na Chelsea wanacheza mkuu mkuu!!! Chukua million mmoja wawekee, profit ni million 2 mama. ambayo unaipata within one day.
Pale daruso kulikuwa na jiko ambapo vyakula vilikuwa vikiuzwa,Duka kubwa la vitu pamoja na uuzwaji wa vinjwaji!!! Bar nzima including na sehemu ya chips na chakula ilikuwa ni miliki ya mtu binafsi,ilifikia hatua walikuwa wanauza kweli kweli mpaka ikatokea idadi ya wanafunzi wanaoenda kula kwenye zile cafeteria kubwa idadi ikapungua, ndipo wakumuundia zengwe kwamba ile bar inachangia uvunjifu wa amani pindi wanafunzi wanapolewa hivyo akatakiwa aifunge, kwa sasa cjajua kama imefunguliwa mkuu, ni mda sijapita mazingira hayoSababu ilikua nini, ama walikua wanachafua mazingira hawasafishi maganda ya viazi aaubuhi??
Kwahiyo pale amekuja mpika chipsi mwingine, ama Daruso bar ilishafungwa kabisa??
Najua mkuu, sema niliamua ingiza masihara, sikumaniisha nilichoandika.Anaulizia biashara mkuu... Siyo Kamari
Muda, commitment, determination, goal setting(unataka kufikia nini, lini na vipi), resources, location, market research na partner ambaye mna same vision and commitment, above all, Love what you do, usifanye kwa ajili ya watu au kwa ajili ya shida.
mkuu fafanua zaidi ni biashara zipi hizo. tatizo ninaliona kwenye huu uzi ni kutazama mtaji zaidi ya fursa yenyewe na uwezekano wa kufikia hiyo targetZipo biashara za kupata laki 2 kwa wiki lkn sio kwa mtaji wa m 1..
Na ukilazimisha saana basi hela yako itapotea huku unaiona,,,.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu!
Wasalaam!
najua kuna magreat thinker hapa, wanao uwezo wa kunishauri vyema,
Ni Hivi kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa kiundani, nimejikuta kwamba kama nisipokuwa na uwezo wa kuzalisha angalau 175,000 au approximately laki mbili kwa wiki, yaani wastani wa shillingi laki nane hivi kwa mwezi nje ya mshahara basi hesabu zangu za kujikwamua zitachelewa,
Ni HESABU ZA Kujikwamua kimaisha, sio kutoka, yaani namaanisha kufanya hivi ni lazima ili nijikwamue, kisha nikishajikwamua ndo nianze kupiga mahesabu ya kutoka kimaisha
Nina uwezo wa kuinject any amount kama capital lakini isizidi million 1. na sio lazima hizo return ziwe za haraka, yaani hata kama return za 200,000 kwa wiki zitaanza baada ya mwezi miezi miwili sio mbaya sana, cha muhimu ni kuwa within a period of six month from today, na kuendelea had miaka 6-7 mbele, ninapaswa kuwa na mradi nje ya mshahara unaoniingizia atleast 200,000 kwa wiki, na mradi huo usinigharimu zaid ya million kama mradi sasa, uwezo wa kuusimamia mimi pysicaly ni ijumaa, jumamosi na jumapili, lakini naweza weka mtu naemuamini, ninao few of them ambao wanaweza lipwa na mradi huo huo.
Naombeni sana mawazo weyu, wakuu, hali ya baba wa taifa sio nzuri, Huwa nakuwa mjanja mjanja sana kwenye hayo mambo ila hadi nimekuja hapa tambua nahitaji mawazo yako chanja
so kabla hauja fikiria kupuuzia, au kujibu upuuzi na kejeli au kuchukulia poa, jaribu kuvaa viatu vyangu japo hauvion vizuri kisha unijibu.
Asante
Mkuu nakushauri Fanya biashara ya supply gas (oryx or mihan).
Kama huna gari ya kusambazia unaweza kuingia mkataba nawenye gari (Suzuki carry) kwa siku 20,000. Uwe na driver mzuri, wages 15,000 kwa siku. Mafuta kwa siku 30,000.
Nunua mitungi 6kg 30 kila kampuni, na 15kg 10 kila kampuni. Faida ya kila 6kg ni 1000 na 15kg ni 3,000. Kama upo dar uwezo wa kuuza 6kg kwa siku kwa wastan ni 60 na kubwa ni 20. Kwa dar hakuna msambazaji anaeweza kumudu soko la dar, ni kubwa sana. 60 x 1,000 + 20 x 3,000 = 120,000 - 65,000 (fixed expenses) = 55,000 per day. Some time biashara ina fluctuate lakini hukosi faida ya 200,000 kwa wiki. Am in the same business eneo langu ni ubungo, kimara, mbezi, goba na kibamba. Segemu kama Tabata, g'la mboto, chanika, masaki, mikocheni, bunju, buza, Temeke, kigamboni, Mbagala, Vikindu, kinyarezi, kitunda nk. Soko ni kubwa sana. Ufahamu wa kutumia nishati ya gas umekuwa mkubwa sana. Demand ya supply ni kubwa sana.
mkuu fafanua zaidi ni biashara zipi hizo. tatizo ninaliona kwenye huu uzi ni kutazama mtaji zaidi ya fursa yenyewe na uwezekano wa kufikia hiyo target
Biashara zipo nyingi uza nafakaNitajie mim hyo ya kusimamia full time ikakulipa hvyo?
OkBiashara zipo nyingi uza nafaka
Talking from experience, hiyo biashara inalipa nilishaifanya japo hiyo million tatu kidogo nina mashaka nayo, Nilikuwa napata 20 elfu kila siku na hiyo ni minimum profit"KWA SIKU ANAFUNGA MILIONI 2 MPAKA 3,
WASTANI KWA WIKI ANAFUNGA MILIONI 10 MPAKA 15,
KWA MWEZI ANAFUNGA MILIONI 40 MPAKA 60."
JAMANI NDUGU ZANGU WATANZANIA,
TUACHE SHUGHULI ZINGINE ZA KUPOTEZA MUDA,
TWENDENI TUKAUZE CHIPSI DARUSO BAR, UDSM.
"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
Soma hiyo ya juu
NafakaKama hutojali Naomba unipe mfano Wa hzo biashara kwa faida wengi hapa jukwaani
utaweza heka,heka za magunia ya unga mama!!! au anataka akufuje rangi yako
Ndio boss me sio sista duuutaweza heka,heka za magunia ya unga mama!!! au anataka akufuje rangi yako
Kama mtaji ni mdogo jitahidi usijiingize kwenye vitu ambavyo unaweza kukukwepa.Kuna kitu Nimetafakari,
Kijana anasema Biashara Mtaji uwe Millioni Moja.
Anasahau kua,
Kwa biashara mpya, Kuna vitu vya kuanzia biashara ni lazima atavinunua na havitaingiza pesa kamwe kwenye biashara yake.
Mfano:
Fenicha, Mzani, Ukarabati wa sakafu au Ukuta, Kodi ya pango,tra n.k
Kiuhalisia,
Akiongelea mtaji wa million Moja, Ela itakayoingia kwenye mzunguko kwa Mara kwanza haitozidi laki 4.
Hiyo laki 6 itapotelea kwenye vitu ambavyo havizalishi wakati wa kuanza biashara mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah utasikia kilio muda si mrefu.Na uko ndo wanapopelejwa kama sio account management [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums