Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

Kwa belo siungi hoja mkuu..hyo biashara ni pasua kichwa sana...!kama ulivyoshauri kwenye last para..!naandika haya nikiandika kwa uzoefu mkubwa
Haki hii biashara inaweza kukupa kiriba tumbo[emoji134][emoji134]

I think ukiisimamia mwenyewe atleast unaweza kupata kitu ila ya kuweka watu ni changamotooooo.
 
Angalau wewe ulienda muda mrefu, haki miee niliifanya mwaka tu nikaona nitawehuka nikaachana nayo.
 
 
Idea nzuri
 
Hakikisha unafuga nguruwe na kuuza mmoja kwa week kwa laki mbili! So, kwa mwezi unauza nguruwe 4! Kwa mwaka uza nguruwe 48!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiwa na gari au ana gari? Na kama asipokuwa nalo anaingiaje mkataba? Yaani mfano akodi gari kwa siku apeleke 20k awe na drive wake.. then yeye anawasambazia wenye maduka au wenye stake holder wa mwisho kabisa? Naomba tupeane elimu hapa kaka hii imenigusa moja kwa moja naweza kumbe kuifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kama uko na gari ni vyema zaidi lakini pia hata kama huna gari ingia

Kama uko na gari ni vyema zaidi lakini pia hata kama huna gari unaweza kuingia mkataba na mwenye sukuzi carry ambayo kwa siku wanataka 20,000. Kubaliana nae terms of payment either kwa siku au kwa wiki. Kuhusu kusambaza unawasanbazia wenye maduka tu. Maduka ya gas yapo mengi sana na kuna sehemu nyingi unakuta gari zinachelewa sana kupita, wateja hawapati huduma kwa wakati.
 
Hapa naona kuna ugumu..just imagine mtu ananua gari IST more than 10mio + kwa ajili ya kufanya biashara

Na bado kwa week anapata 150,000/= je huyo wa mio moja kwa mwezi atapata sh ngapi? Hapo hatujapiga gharama ya frame, kumlipa msimazi, msimamizi kupiga kidogo (kujilipa)

Ngoja niwe wa mwisho kuamini 1mio kuzalisha laki 8 kwa mwezi...hapa tuwe wa kweli

Au jiunge na QNet wao wanasema if u believe..u can make it..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…