Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

1,500 kwa 3,000 issue kubwa hapo ukitaka kuona hela lazima uwekeze kwenye stock. Midogo 100 - 150 na kubwa 50. Ndogo kwa wiki unaweza kutoa minimum 600 - 1000 na kubwa 200. Inategemea ulipo.
Kwa hiyo hapo kwa kukazia mtungi 1 mdogo wataniuzia shingapi na mimi niuze shingapi...?
Na kwa mitungi mikubwa hali kadhalika kifupi bei ya manunuzi na mauzo per each and its return..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza lazima uwekeze kwenye mitungi. Mtungi mdogo mtupu wa 6kg bei ni 23,000 na mkubwa mtupu wa 15kg 42,000.ukisha nunua mitungi utakuwa unalipia gas: ndogo 6kg 15,800 na 15kg 38,000 utakuwa unauza kwa dealers (madukani) 6kg 17,000 na 15kg 41,000
 
Okay okay so inshu kubwa ni kutafuta tender kutoka kwa wauza gas na maduka then unakula mkataba na kampuni za gesi si ndio hivyo master?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hakuna kutafuta tena. Unazungukia tu kwenye maduka na ukizoeleka wateja watakuwa wanakupigia simu kupa oda. Gari zipo zinazunguka lakini kuna factors amnazo zina sababisha wateja wasipate huduma kwa wakati na Mara kwa Mara kukosa. Na mteja wa dukani akikosa gas anakosa mteja. Gari zinaonekana nyingi lakini hazitoshi
 
Kwanza lazima uwekeze kwenye mitungi. Mtungi mdogo mtupu wa 6kg bei ni 23,000 na mkubwa mtupu wa 15kg 42,000.ukisha nunua mitungi utakuwa unalipia gas: ndogo 6kg 15,800 na 15kg 38,000 utakuwa unauza kwa dealers (madukani) 6kg 17,000 na 15kg 41,000
Mkuu nimekusoma na nimekuelewa kabisa ngoja nianze kufanya maanadalizi nataka nikodi gari nifanye hiyo kazi... iko safi sana na inaeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hakuna kutafuta tena. Unazungukia tu kwenye maduka na ukizoeleka wateja watakuwa wanakupigia simu kupa oda. Gari zipo zinazunguka lakini kuna factors amnazo zina sababisha wateja wasipate huduma kwa wakati na Mara kwa Mara kukosa. Na mteja wa dukani akikosa gas anakosa mteja. Gari zinaonekana nyingi lakini hazitoshi
Hii ni business ambayo inaweza kujiendesha yenyewe imekaaa vizuri tu aina shida... naifanyia kazi mkuu blessed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kiuhalisia haiwezekani labda ufanye biashara za magendo

mpuuzi mpuuzi tu
 
kua well informed bro utafikia malengo, what you think ni sahihi na inawezekana,,INFORMATION IS POWER
 
vipi kuhusu biashara ya simu? hapa siongelei kufungua duka, naongelea kutangaza bidhaa kwa njia ya mitandao,
bidhaa inakua nyumbani au kwenye begi,, mfano note 5 mpyaaa china inacheza kwenye laki 2 hivi ,kwa hapa mjini madukani inaanzia laki 450 kama sikosei , akianza na simu hata tano akauza kwa bei nzuri faida ipo ila ni NETWORK NA INFORMATION ndo itakayoamua hapo
 
Nimeusoma huu uzil mwanzo adi mwisho, kila mtu anashauri abet

Tuweni nahuruma jamani wengine tulikua warahibu wamambo yakubet tumefanikiwa kuacha ila kila nnavoona hio habar ya kubet nashikwa napepo najikaza mno, hio habar inashawishi zaid ya vdeo za porno zinavoshawishi ngono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom