Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

nafanyia mazoea
Nataka nizame shamba japo shamba halinitaki...
Halafu hivi yale matunda bado yapo?

yapo..mie nimespecialise huko..shamba unTKiwa uwepo physcal kbs...mie habari za shamba nimepumziķa.. masoko hayana urafiki na mkulima kbs yaan..unahangaika weee bei unayokuja ikuta sokon hairidhishi ...🍓🍓🍓😍
 
Nunua handbags za kike, classic ,inakaa pc tatu au nne, znakuwa tofaut kabsa na zile zinazouzwa kkoo... Unanunua kwa 17,000 usafir 3500 kila handabag, jumla 20500...
Ww uza 28,000 jumla

Maana huku jumla wanauzaga 35 rejareja 40 hadi elfu 60..

Ukipost mitandaon utapata wateja kutoka mikoa weng na hapa dar kwa ajili iyo bei ndogo.

Kuuza handbags 20 kwa siku n kitu cha kawaida kabsa..

Au unawauzia wenye maduka unachukua order
Unapofata mzigo wa handbags unachanganya na vichwa vya kuuzia mawigi vinauzwa 1700 usafiri wa kila kochwa 2000 jumla 3700 kikifika Tanzania huwa vinauzwa 15,000 hadi 20,000

Pia changanya na midoli ya kuuzia nguo,
Inauzwa 17,000 usafiri 17,000 jumka 34,000 hapa tanzania inauzwa elfu 80 hadi 150,000.

Ningekuwa na capital mimi ningekuwa tajiri tayar daaa maana machimbo ya hivi vitu nayajua vzur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dadangu nisaidie maelezo kuhusu biashara hii hasa yalipo machimbo ya hizo bidhaa. Nimevutiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HYO FAIDA INAWEZEKANA YA LAKI MBILI KWA WIKI INATEGEMEA NA AINA YA BIASHARA NA UNAIFANYIA WAPI NA WAKATI GANI NA MTAJI WA HYO HYO MILION MOJA SEMA WENGI WETU TUNA FIKIRI KATIKA WIGO MMOJA TU NA MARA NYING SANA TUNAKUWA NA MAWAZO HASI NA MAWAZO YA KUFELI MUDA WOTE

NA KILA BIASHARA INA FAIDA NA HASARA ZAKE NI JAMBO LA MSINGI KUJUA HILO
 
Hebu mkuu tupe mfano..1m ikazae 800k kwa mwezi 1 !
 
Nunua handbags za kike, classic ,inakaa pc tatu au nne, znakuwa tofaut kabsa na zile zinazouzwa kkoo... Unanunua kwa 17,000 usafir 3500 kila handabag, jumla 20500...
Ww uza 28,000 jumla

Maana huku jumla wanauzaga 35 rejareja 40 hadi elfu 60..

Ukipost mitandaon utapata wateja kutoka mikoa weng na hapa dar kwa ajili iyo bei ndogo.

Kuuza handbags 20 kwa siku n kitu cha kawaida kabsa..

Au unawauzia wenye maduka unachukua order
Unapofata mzigo wa handbags unachanganya na vichwa vya kuuzia mawigi vinauzwa 1700 usafiri wa kila kochwa 2000 jumla 3700 kikifika Tanzania huwa vinauzwa 15,000 hadi 20,000

Pia changanya na midoli ya kuuzia nguo,
Inauzwa 17,000 usafiri 17,000 jumka 34,000 hapa tanzania inauzwa elfu 80 hadi 150,000.

Ningekuwa na capital mimi ningekuwa tajiri tayar daaa maana machimbo ya hivi vitu nayajua vzur

Sent using Jamii Forums mobile app
Unanunua nchi gani hizo handbag?process nzima inakuaje tusaidie best.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeusoma huu uzil mwanzo adi mwisho, kila mtu anashauri abet

Tuweni nahuruma jamani wengine tulikua warahibu wamambo yakubet tumefanikiwa kuacha ila kila nnavoona hio habar ya kubet nashikwa napepo najikaza mno, hio habar inashawishi zaid ya vdeo za porno zinavoshawishi ngono.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo lakini mbili kwa wiki ni faida ama turnover? Kama ni faida inabidi uwe makini sana na ushauri utakaopewa hapa jamvini. Ni biashara chache sana halali zinazoweza kukupa faida ya kiwango hicho kwa investment isiyozidi milioni moja (ROI au ROCE).

Laiti ingekuwepo basi ungeona watu wengi tayari wanaifanya. But usikate tamaa, uvumbuzi unaanza na kufikiria nje ya box namna hiyo!
 
Trade forex, utaweza ingiza hata laki tano kwa siku
IMG-20190221-WA0060.jpeg

Nani ananifahamu?
 
Nunua handbags za kike, classic ,inakaa pc tatu au nne, znakuwa tofaut kabsa na zile zinazouzwa kkoo... Unanunua kwa 17,000 usafir 3500 kila handabag, jumla 20500...
Ww uza 28,000 jumla

Maana huku jumla wanauzaga 35 rejareja 40 hadi elfu 60..

Ukipost mitandaon utapata wateja kutoka mikoa weng na hapa dar kwa ajili iyo bei ndogo.

Kuuza handbags 20 kwa siku n kitu cha kawaida kabsa..

Au unawauzia wenye maduka unachukua order
Unapofata mzigo wa handbags unachanganya na vichwa vya kuuzia mawigi vinauzwa 1700 usafiri wa kila kochwa 2000 jumla 3700 kikifika Tanzania huwa vinauzwa 15,000 hadi 20,000

Pia changanya na midoli ya kuuzia nguo,
Inauzwa 17,000 usafiri 17,000 jumka 34,000 hapa tanzania inauzwa elfu 80 hadi 150,000.

Ningekuwa na capital mimi ningekuwa tajiri tayar daaa maana machimbo ya hivi vitu nayajua vzur

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu na mimi naomba nielekeze hizo chimbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom