Hayo mambo watu wanafanya maybe kama huna uzoefu vyema na biashara ... nimekutolea mchanganuo kuhusu hiyo biashara ya pili watu huwa wanaingiza hiyo faida ya laki 2per week tu ... achilia mbali kuhusu hiyo humu kuna uzi unahusu biashara ya nazi toka tanga kwenda Zanzibar .. utafute uupitie uone watu wanavyoingiza pesa tena kwa mtaji mdogo tu wa laki 5Pointyangu ni 1!uwekeze 1m alafu return upate laki8 kwa mwezi๐๐๐...means200000@week!kha!...sijui hesabu labda
Hayo mambo watu wanafanya maybe kama huna uzoefu vyema na biashara ... nimekutolea mchanganuo kuhusu hiyo biashara ya pili watu huwa wanaingiza hiyo faida ya laki 2per week tu ... achilia mbali kuhusu hiyo humu kuna uzi unahusu biashara ya nazi toka tanga kwenda Zanzibar .. utafute uupitie uone watu wanavyoingiza pesa tena kwa mtaji mdogo tu wa laki 5
Biashara bila usimamizi wa kutosha lazima ifeHapana mkuu inawezekana... tatizo sehemu kubwa ya jamii yetu inatatizwa na uhaba wa taarifa chanya za biashara '"
Juzi kati nilimpigia rafiki yangu mmoja hivi anayeishi tanga " nikawa na muuliza fursa zinazo patikana huko " akanipa mchongo wa kupeleka Pili pili mtama Zanzibar " Aliniambia kwamba pale kijijini kwao pili pili mtama kwa kg1, moja wanauza 2500 gharama za usafiri kwa kila kg1ni 500 so jumla 3000 .. ukifika sokoni Zanzibar unauza pili pili mtama kwa kila kg1 kwa tsh:3000,... ukipeleka mzigo wa laki 3, unauhakika wa kupata faida laki 3, nyingine kama mapato " ukitoa toa gharama za chakula na malazi unaweza jikuta unabaki na laki 2,as faida ....
Haya mambo yapo msiwe mnabisha ... tatizo ambalo litam-cost mtoa mada ni kwakuwa hana muda wa kuisimamia hiyo biashara so kwa upande wake ni ngumu kuweza kuipata hiyo faida .. kwa sababu biashara yenye mtaji mdogo kama hii inahitaji kwanza wewe mwenyewe ujitoe " mpaka pale ambapo itakapo kuwa imesimama haswaa ndio umpe majukumu mtu mwingine aweze kuisimamia na uaminifu wake uwe ni wakiwango cha 98%
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada utupe mrejesho basi maana naafatilia sana hz mishe ila nafeli aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
motivational speakers wanazingua mnooooo,,, mabo ya i will i must i can..Ndo MAANA huwa nawalaani hawa motivational Speakers.
Mambo kama haya huwa hawawaambii vijana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pilot Project - Inakamilika baada ya wiki mbili, Hio ndio sababu.
Mkuu kwenye Apps (Application) watu wanapiga elaa sana sikuizi, ningekushauri uangalie upande huo, watu wanapiga zaidi ya dollar 1000 kwa mwezi. Kama ukihitaji kujua zaidi kuhusu application nitafute hapa kiongozi 0692941440
ipoo whatsapp mkuuNamba iko whatsapp hii?
sio kama sitaki kukujibu lakini nafikiria bajeti ya milion moja afu baada ya miezi mbili uingize laki 8 kwa mwezi, dah
Tarehe 1 ndo kesho hyo mleta thread kaa tayarTuwasiliane ifikapo Tarehe 01/ 03/ 2019, Je kwanini iwe hiyo tarehe?? , Nina sababu.
Ndio yawezekana ukapata zaidi ya 200,000 kila wiki.
Na Mimi ngoja nimuone.Tarehe 1 ndo kesho hyo mleta thread kaa tayar
Ndio ile tarehe pendekezwa imefika sasaNa Mimi ngoja nimuone.
Cheza bikoWakuu!
Wasalaam!
najua kuna magreat thinker hapa, wanao uwezo wa kunishauri vyema,
Ni Hivi kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa kiundani, nimejikuta kwamba kama nisipokuwa na uwezo wa kuzalisha angalau 175,000 au approximately laki mbili kwa wiki, yaani wastani wa shillingi laki nane hivi kwa mwezi nje ya mshahara basi hesabu zangu za kujikwamua zitachelewa,
Ni HESABU ZA Kujikwamua kimaisha, sio kutoka, yaani namaanisha kufanya hivi ni lazima ili nijikwamue, kisha nikishajikwamua ndo nianze kupiga mahesabu ya kutoka kimaisha
Nina uwezo wa kuinject any amount kama capital lakini isizidi million 1. na sio lazima hizo return ziwe za haraka, yaani hata kama return za 200,000 kwa wiki zitaanza baada ya mwezi miezi miwili sio mbaya sana, cha muhimu ni kuwa within a period of six month from today, na kuendelea had miaka 6-7 mbele, ninapaswa kuwa na mradi nje ya mshahara unaoniingizia atleast 200,000 kwa wiki, na mradi huo usinigharimu zaid ya million kama mradi sasa, uwezo wa kuusimamia mimi pysicaly ni ijumaa, jumamosi na jumapili, lakini naweza weka mtu naemuamini, ninao few of them ambao wanaweza lipwa na mradi huo huo.
Naombeni sana mawazo weyu, wakuu, hali ya baba wa taifa sio nzuri, Huwa nakuwa mjanja mjanja sana kwenye hayo mambo ila hadi nimekuja hapa tambua nahitaji mawazo yako chanja
so kabla hauja fikiria kupuuzia, au kujibu upuuzi na kejeli au kuchukulia poa, jaribu kuvaa viatu vyangu japo hauvion vizuri kisha unijibu.
Asante