Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,068
kila siku unatafuta odds2 tu usitake nyingi unaweka dau la 200k Tsh's , kwa wewe ukifungua account mpya kwa 1st deposit bonus ni 50%-100% inategemea na kampuni utakayo jisajili ,kwa hiyo hapo unaamua utaweka vipi kama ukiweka 200k pasipo kuunga na bonus ukipuna faida ni 200k,(400K) .na kama utaunga pamoja na bonus ambayo ni 100k/200k ukiweka dau lote limasoma 300k-400k ,kwa hiyo hapo ukipuna ni kuanzia 600k-800k ,faida ni 300k-400k ,kwa siku moja au masaa kadhaa tu na kama live bet ni dakika kadhaa tu, na possibility ya kupuna kwa odds 2 hadi 1.5 ni 80% , karibu tumfirisi muhindi mzazi
Hii ni kama Kilimo cha Matikiti maji kwenye Makaratasi kama nadanganya Mkuu nipe bet history yako ya wiki hii ambayo kila siku ulikuwa unaweka odd 2 kwa 200k na ukamla Mfululizo! Ukiileta hiyo nitakuamini! Na mm nitaskusaidia kutoa ushawishi mkubwa watu wabeti
Sent from my iPhone using JamiiForums