Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,981
- 3,604
Naskitika sana kuwa utajiri ni mbinu na ni siri Sio rahisi mtu kutoa siri ikiwa bado ni ya moto mpaka ipowe iwe haina madhara makubwa na faida iwe ndogo kulinganisha na zamani.
kuna Biashara ambayo mtaji wake ni Kama laki nane na mtu akiamua kuifanya peke yake kwa mwezi wa kwanza huwezi kosa faida ya laki 6 pia hii Biashara ni rahisi kuireplicate maeneo mengine na faida ni rahisi kuongezeka kwa kasi kwa wiki unaweza kutengeneza profit ya laki 2 mpaka 4 profit yake ni nzuri.
utamu wa hii Biashara ni legal inatambulika inafanyika sana na watu Wenye mitaji mikubwa lakini kuna namna ya kuifanya kwa udogo kupitiliza kwani kikawaida kuifanya lazima uwe na zaidi ya 40m hapa ndio linakuja swala la ubunifu, utafiti na ubobezi, Biashara Kama hii Sio rahisi mtu kuitaja wakati ikiwa hoti uwo ni uwongo utakuja kumsikia tu baadae anasema ilikuwaga hivi .....nikajump vile ndio nikawa millionaire.
lengo la kusema Haya ni kuwa mtaji wa milion moja kuna Biashara kwa mwezi unaweza kupata profit ya milion moja .....siongelei forex, wala betting naongelea biadhara Kama Biashara Yaani kutoa service/products na kupewa pesa....... hii inamaanisha kuwa kuna Biashara ambazo kila baada ya miezi 3 mtu anaweza Kufungua tawi sehemu ingine na kutengeneza same profit......
biashara nyingi zenye returns kubwa huwa zinausisha knowledge kidogo, ubunifu na semi manufacturing or processing/value added items refer Bilgate, Jeff benzo, KFC, UBBER, online cinema tickets, KIKUU APPS and the like
Sent using Jamii Forums mobile app