Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

Nenda sehemu ilochangamka, kodi frem, tengeneza mazingira ya frem yako ipendeze (rangi, wallpapers nk) then ufanye biashara ya kuuza supu ya pweza pure.. Usisahau na udambwiudambwi wa kachori, ukwaju etc.. Ukinunua pweza wa elfu 60,hyo faida ya laki mbili ni lazima utapata..
Najua utapuuzia...
Hakikisha ktk hyo frem unavutia wateja kwa mandhari ya usafi na muhudumu awe wa kike... Na usiuze bei ghali.. Uza bei sawa na wale wa mtaani... Then utaleta mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamvunjia heshima mdau, sio lazima u comment kila jambo, watu wanafanya biashara na jamaa longtime na sijawahi kusikia kamtapeli mtu, pitia profile yake

Sent using Jamii Forums mobile app

kina alex massawe wanafanya biashara long time ila wamekuja kutapeli watu pia... jamaa ameuliza hivyo sababu mtaji wa milioni moja utengeneze laki 8 kwa mwezi profit.. ni too good to be true..

mimi mwalimu namjua na nimeshaagiza vitu kwake mara nyingi.. ila hii ya milioni moja ilete laki 8 kwa mwezi profit, bila kusimamia biashara yeye mwenyewe... ni too good to be true.. hata ndugu yangu mwalimu ningependa aeleze vizuri hapa.. tujenge hoja..
 
Unamvunjia heshima mdau, sio lazima u comment kila jambo, watu wanafanya biashara na jamaa longtime na sijawahi kusikia kamtapeli mtu, pitia profile yake

Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU,

SWALI LANGU HALINA LENGO LA KUMVUNJIA YEYOTE HESHIMA,

ILA IKIWA KUNA BIASHARA YOYOTE HALALI AMBAYO KWA MTAJI WA MILIONI 1,
TENA HAUISIMAMII MWENYEWE-
HATIMAYE INAKULETEA LAKI 8 KWA MWEZI-

WATANZANIA WOTE TUNAWEZA KUHAMIA HUKO !!!

JITAHIDI KUFIKIRI SANA KWA MAPANA-
UTANIELEWA TU.

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
kina alex massawe wanafanya biashara long time ila wamekuja kutapeli watu pia... jamaa ameuliza hivyo sababu mtaji wa milioni moja utengeneze laki 8 kwa mwezi profit.. ni too good to be true..

mimi mwalimu namjua na nimeshaagiza vitu kwake mara nyingi.. ila hii ya milioni moja ilete laki 8 kwa mwezi profit, bila kusimamia biashara yeye mwenyewe... ni too good to be true.. hata ndugu yangu mwalimu ningependa aeleze vizuri hapa.. tujenge hoja..
MKUU,

ULICHOKIWASILISHA NDICHO NILICHOKUWA NAKIMAANISHA,

"Great Minds Think Alike".

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
Back
Top Bottom