enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Na hapa pana kila dalili ya networking marketing[emoji28][emoji28]yangu macho na maskio
Boda boda labda aendeshe mwenyeweNunua Pikipiki mkuu Ifanye kuwa Boda boda kwa siku kipande Elfu 10 kwa wiki Elfu 70 mkuu Ukiwa nazo hata 2 sio mbaya Boda boda inalipa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu zipo biashara ya hivyo ila ni lazima uisimamie mwenyewe masaa kumi kila siku ndio utatoboa tofauti na hapo andika maumivu
Hiyo biashara nailaani sana kwasababu inakufanya uwe unawatazama ndugu na jamaa zako kwa jicho la kuwageuza fursa bila kujali wao watapata nini!
Kwa wiki "mb" sio kwa mweziEti nawaza...laki 2 kwa kila mwezi..na mtaji wako ni 1m????duh
Hiyo biashara nailaani sana kwasababu inakufanya uwe unawatazama ndugu na jamaa zako kwa jicho la kuwageuza fursa bila kujali wao watapata nini!
Sent using Jamii Forums mobile app
laki 2 kwa week😜Kwa wiki "mb" sio kwa mwezi
Kikubwa tatua changamoto unazo ziona kwenye jamii. tafuta kichangamoto na kitatue.
Pesa ni matokeo na si vinginevyo, kama huna solve any tatizo basi ni vigumu sana watu kukuletea hizo pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hutojali Naomba unipe mfano Wa hzo biashara kwa faida wengi hapa jukwaaniMkuu zipo biashara ya hivyo ila ni lazima uisimamie mwenyewe masaa kumi kila siku ndio utatoboa tofauti na hapo andika maumivu
WAKUU,Tuwasiliane ifikapo Tarehe 01/ 03/ 2019, Je kwanini iwe hiyo tarehe?? , Nina sababu.
Ndio yawezekana ukapata zaidi ya 200,000 kila wiki.
Unamvunjia heshima mdau, sio lazima u comment kila jambo, watu wanafanya biashara na jamaa longtime na sijawahi kusikia kamtapeli mtu, pitia profile yakeWAKUU,
HATOPIGWA MTU HAPA LAKINI ?!?!
NAULIZA TU WAKUU.
"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
Unamvunjia heshima mdau, sio lazima u comment kila jambo, watu wanafanya biashara na jamaa longtime na sijawahi kusikia kamtapeli mtu, pitia profile yake
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU,Unamvunjia heshima mdau, sio lazima u comment kila jambo, watu wanafanya biashara na jamaa longtime na sijawahi kusikia kamtapeli mtu, pitia profile yake
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU,kina alex massawe wanafanya biashara long time ila wamekuja kutapeli watu pia... jamaa ameuliza hivyo sababu mtaji wa milioni moja utengeneze laki 8 kwa mwezi profit.. ni too good to be true..
mimi mwalimu namjua na nimeshaagiza vitu kwake mara nyingi.. ila hii ya milioni moja ilete laki 8 kwa mwezi profit, bila kusimamia biashara yeye mwenyewe... ni too good to be true.. hata ndugu yangu mwalimu ningependa aeleze vizuri hapa.. tujenge hoja..