mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Niamini mimi mkuu, tatizo sio sura yako, tatizo ni hiyo 'bullying' unayopitia.
Inakupa kinyongo, inakufanya ujichukie.
Tafuta namna ya kukabiliana na bullies wako, uondoe hiyo chuki na maumivu, utajikubali.
Nina uzoefu kama wako, kwenye suala la unene
I was bullied a lot kwasababu ya unene nikiwa mdogo, saivi ni kama nina vita na watu wanene, nikinenepa najichukia sana...