Nifanye nini ili upara wangu uwe classic, ung'ae

Nifanye nini ili upara wangu uwe classic, ung'ae

Hawayuni wakuu, mko poa! mimi huwa nanyoa kipara mara nyingine kwa mashine mara nyingine nanyolewa na kiwembe, shida moja japo watu huniambia upara wangu uko sawa lakini mimi napenda ung'ae uwe classic, kusiwe na vikovu vikovu vya hapa na pale, nataka niwe nafanya scrub kila nikinyoa ili upara upendeze au niwe nafanya nini ili upara wangu uwe vizuri zaidi wakuu, tafadhali anayejua anisaidie ili upara wangu uwe classic na ung'ae?
Tafuta pesa utang'aa Hadi ngozi ya goti na pumbu
 
tumia nta/wax ya kunyolea mavuzi


Akifika dukani aulizie hivyo hivyo nta/wax ya kunyolea mavu***??!!😒

Kweli dunia imekwisha, hata tafsida umeshindwa, wewe hujui humu kuna watoto??!
 
Back
Top Bottom