mgendege
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 322
- 388
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta pesa utang'aa Hadi ngozi ya goti na pumbuHawayuni wakuu, mko poa! mimi huwa nanyoa kipara mara nyingine kwa mashine mara nyingine nanyolewa na kiwembe, shida moja japo watu huniambia upara wangu uko sawa lakini mimi napenda ung'ae uwe classic, kusiwe na vikovu vikovu vya hapa na pale, nataka niwe nafanya scrub kila nikinyoa ili upara upendeze au niwe nafanya nini ili upara wangu uwe vizuri zaidi wakuu, tafadhali anayejua anisaidie ili upara wangu uwe classic na ung'ae?
tumia nta/wax ya kunyolea mavuzi
Mkuu tupe mrejesho je upara wako unang'aa kama bati mpya?
Uwe unaupaka nyutro kama sio kiwi