Nifanye nini ili upara wangu uwe classic, ung'ae

Nifanye nini ili upara wangu uwe classic, ung'ae

Uchunjuba Punjubi

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
799
Reaction score
622
Hawayuni wakuu, mko poa! mimi huwa nanyoa kipara mara nyingine kwa mashine mara nyingine nanyolewa na kiwembe, shida moja japo watu huniambia upara wangu uko sawa lakini mimi napenda ung'ae uwe classic, kusiwe na vikovu vikovu vya hapa na pale, nataka niwe nafanya scrub kila nikinyoa ili upara upendeze au niwe nafanya nini ili upara wangu uwe vizuri zaidi wakuu, tafadhali anayejua anisaidie ili upara wangu uwe classic na ung'ae?
 
Back
Top Bottom