Nifanye nini?, mdogo wa mke wangu amenasa ujauzito wangu


Ipo siku unawatafuna hadi wanao maana inaonekana huna mipaka.
 
Mkuu hapo inabidi uwe mpole uombe msamaha jishushe sema shetani alikupitia au ulikuwa umelewa (kama unatumia) .
Any way chamsingi hilo nalo litapita.
Kwanza huyo dada yake mwenyewe haujaeleza kama umemuoa .
Hongera kwa kuwapa mimba mtu na dada, usijaribu kutoa hiyo mimba
 
kunywa sumu ujiue tu kijana wangu, usihangaike sana kuomba ushauri kwa upumbavu wako uloufanya ukiwa na akili timamu, mpuuzi kabisa wewe![emoji34]
 
kunywa sumu ujiue tu kijana wangu, usihangaike sana kuomba ushauri kwa upumbavu wako uloufanya ukiwa na akili timamu, mpuuzi kabisa wewe![emoji34]
Upumbavu gani ?
 
Kampangie mdogo wa mkeo mpatie kila kitu akae vizuri mbali na Familia yako endelea kujilia mema ya nchi unachagua ukapumzike wapi.
Mtoto akikua itajulikana mbele kwa mbele
 
Nakusomea mashtaka ndugu Baba Kija
1.Usaliti na kuumiza hisia za mkeo
2.Kumpa mimba ndugu wa damu wa mkeo
3.kukusudia kutaka kuitoa mimba hivyo kuhatarisha maisha ya kiumbe na mama yake
4.Kukiuka viapo vya ndoa na kutoka kimapenzi kwa siri na shemeji yako
5.Udanganyifu umemwingiza kingi shemeji yako kwa hadaa ili usuuuze rungu
6.Ulidhamiria kuvunja undugu wa mkeo na shemeji yako hali ukijua hilo kiimani ni kosa.
7.Umedharirisha familia yako na wazazi wako
8.Umejitangaza Jamii forum kutaka ushauri wakati hukutuomba ushauri wakati unaenda kuzagamua
FANYA HIVI
-Patana na mkeo kabla mambo hayajawa mabaya
 
Hakun jambo litaloharibika lazima itolewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…