Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakat unampanda shemejio, mawazo ya familia yako wataonaje yalikuwa wapi?Ndugu zangu, naomba ushauri huku nikiwa naona Aibu kwa niliyoyafanya lakini yashatokea [emoji116]
Naomba msaada wenu kwa jambo zito ambalo nalipitia. Nina mwanamke ambaye nimezaa naye mtoto mmoja na yeye ana mdogo wake wa kike ambaye tulikuwa tunamazoea sana, mpaka ikafika mahali dada ake alipoona nikiongea naye, anakosa amani kabisa. Kwa bahati mbaya, baada ya mwaka kupita, mdgo wake aliondoka lakini amerudi tena mwaka huu.
Baada ya kurudi tukajikuta tunchat na tunatumiana video vya hovyo hivyo . Mwezi uliopita siku moja tukatoka kwa siri na tukazini lakini sasa baada ya wiki tatu, akaniambia kuwa siku zake hazioni. nikamwmbia asubiri wiki 2 tuone, lakini juzi akajaribu kupima na akapata majibu kwamba kitu kimenasa. daaaaah nimemshauri hpa aote (aatoe mimba) lakini anasema anaogopa.
Naomba ushauli wenu japo nimefanya makosa hata naandika haya huku nikiona aibu sijui nifanye nini kwenye hali.
Sasa mimi nitaonekanaje kwenye familia yangu na yao nitaonekana mtu nisiefaa kabisa kwa maana hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kufanya haya mambo, kwakuwa hakuna nikimwmbia asitoe hakutokuwa na siri tena hapo .
Utam Shunie, wala sio kingine...Ila nyie viumbe nyie yakishawatokea kama hivi mnajifanya kujuta
Mkuu tunasubiri mrejesho tu itakavyokuwa mtoto akizaliwa
Nifanye
Tena ikibid na makofi yahusikebinti mdogo akushinde akili wewe kweli emu mchukue tafta daktar achomoe hicho kiumbe kabla ya mwezi
Duuu! Pole sanaa aiseeNdugu zangu, naomba ushauri huku nikiwa naona Aibu kwa niliyoyafanya lakini yashatokea [emoji116]
Naomba msaada wenu kwa jambo zito ambalo nalipitia. Nina mwanamke ambaye nimezaa naye mtoto mmoja na yeye ana mdogo wake wa kike ambaye tulikuwa tunamazoea sana, mpaka ikafika mahali dada ake alipoona nikiongea naye, anakosa amani kabisa. Kwa bahati mbaya, baada ya mwaka kupita, mdgo wake aliondoka lakini amerudi tena mwaka huu.
Baada ya kurudi tukajikuta tunchat na tunatumiana video vya hovyo hivyo . Mwezi uliopita siku moja tukatoka kwa siri na tukazini lakini sasa baada ya wiki tatu, akaniambia kuwa siku zake hazioni. nikamwmbia asubiri wiki 2 tuone, lakini juzi akajaribu kupima na akapata majibu kwamba kitu kimenasa. daaaaah nimemshauri hpa aote (aatoe mimba) lakini anasema anaogopa.
Naomba ushauli wenu japo nimefanya makosa hata naandika haya huku nikiona aibu sijui nifanye nini kwenye hali.
Sasa mimi nitaonekanaje kwenye familia yangu na yao nitaonekana mtu nisiefaa kabisa kwa maana hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kufanya haya mambo, kwakuwa hakuna nikimwmbia asitoe hakutokuwa na siri tena hapo .
Ndugu zangu, naomba ushauri huku nikiwa naona Aibu kwa niliyoyafanya lakini yashatokea![]()
Naomba msaada wenu kwa jambo zito ambalo nalipitia. Nina mwanamke ambaye nimezaa naye mtoto mmoja na yeye ana mdogo wake wa kike ambaye tulikuwa tunamazoea sana, mpaka ikafika mahali dada ake alipoona nikiongea naye, anakosa amani kabisa. Kwa bahati mbaya, baada ya mwaka kupita, mdgo wake aliondoka lakini amerudi tena mwaka huu.
Baada ya kurudi tukajikuta tunchat na tunatumiana video vya hovyo hivyo . Mwezi uliopita siku moja tukatoka kwa siri na tukazini lakini sasa baada ya wiki tatu, akaniambia kuwa siku zake hazioni. nikamwmbia asubiri wiki 2 tuone, lakini juzi akajaribu kupima na akapata majibu kwamba kitu kimenasa. daaaaah nimemshauri hpa aote (aatoe mimba) lakini anasema anaogopa.
Naomba ushauli wenu japo nimefanya makosa hata naandika haya huku nikiona aibu sijui nifanye nini kwenye hali.
Sasa mimi nitaonekanaje kwenye familia yangu na yao nitaonekana mtu nisiefaa kabisa kwa maana hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kufanya haya mambo, kwakuwa hakuna nikimwmbia asitoe hakutokuwa na siri tena hapo
Umalaya ukipitiliza huwa madhara yake ndio hayoNifanye
Ba mdogo ashazeeka sa ivi hizi Hekaheka hawezi kutoboaWasiliana na huyu mwamba patrickk atakuunganisha na babake mdogo