Nifanye nini?, mdogo wa mke wangu amenasa ujauzito wangu

Ndugu zangu, naomba ushauri huku nikiwa naona Aibu kwa niliyoyafanya lakini yashatokea [emoji116]

Naomba msaada wenu kwa jambo zito ambalo nalipitia. Nina mwanamke ambaye nimezaa naye mtoto mmoja na yeye ana mdogo wake wa kike ambaye tulikuwa tunamazoea sana, mpaka ikafika mahali dada ake alipoona nikiongea naye, anakosa amani kabisa. Kwa bahati mbaya, baada ya mwaka kupita, mdgo wake aliondoka lakini amerudi tena mwaka huu.

Baada ya kurudi tukajikuta tunchat na tunatumiana video vya hovyo hivyo . Mwezi uliopita siku moja tukatoka kwa siri na tukazini lakini sasa baada ya wiki tatu, akaniambia kuwa siku zake hazioni. nikamwmbia asubiri wiki 2 tuone, lakini juzi akajaribu kupima na akapata majibu kwamba kitu kimenasa. daaaaah nimemshauri hpa aote (aatoe mimba) lakini anasema anaogopa.

Naomba ushauli wenu japo nimefanya makosa hata naandika haya huku nikiona aibu sijui nifanye nini kwenye hali.

Sasa mimi nitaonekanaje kwenye familia yangu na yao nitaonekana mtu nisiefaa kabisa kwa maana hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kufanya haya mambo, kwakuwa hakuna nikimwmbia asitoe hakutokuwa na siri tena hapo .
WEwe kiazi kweli, sasa unataka kuonekana unafaa wakati ni kweli haufai, kwa hiyo unataka kuendelea kuonekana mtu fake.
 
Sasa mimi nitaonekanaje kwenye familia yangu na yao nitaonekana mtu nisiefaa kabisa kwa maana hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kufanya haya mambo,kwakuwa hakuna nikimwmbia asitoe hakutokuwa na siri tena hapo .
Hehee ungewahi milembe mkuu, yasingekukuta haya pole sana.
 
Usisahau ku2pa updates/mirejesho
Unamtamani mdogo wake na mkeo
Waoe wotee tu. Daah ila akili zako unazijua ww
 
Tamaa ni mbaya, omba toba kwa Mungu muambie ukweli wife mtoto mtamfaulisha kwenye family yako
 
Uzuri anaogopa endelea kumshawishi atatoa tu.
Otherwise piga wote. Mwendo wa threesome. Mimba mtasema ya mtu mwingine ila yeye hamfahamu.
Ila sister tayari ana mtoto?
Lea tu hiyo mimba , wife akijua mwambia achague kubaki au kuondoka
 
Ndugu zangu, naomba ushauri huku nikiwa naona Aibu kwa niliyoyafanya lakini yashatokea [emoji116]

Naomba msaada wenu kwa jambo zito ambalo nalipitia. Nina mwanamke ambaye nimezaa naye mtoto mmoja na yeye ana mdogo wake wa kike ambaye tulikuwa tunamazoea sana, mpaka ikafika mahali dada ake alipoona nikiongea naye, anakosa amani kabisa. Kwa bahati mbaya, baada ya mwaka kupita, mdgo wake aliondoka lakini amerudi tena mwaka huu.

Baada ya kurudi tukajikuta tunchat na tunatumiana video vya hovyo hivyo . Mwezi uliopita siku moja tukatoka kwa siri na tukazini lakini sasa baada ya wiki tatu, akaniambia kuwa siku zake hazioni. nikamwmbia asubiri wiki 2 tuone, lakini juzi akajaribu kupima na akapata majibu kwamba kitu kimenasa. daaaaah nimemshauri hpa aote (aatoe mimba) lakini anasema anaogopa.

Naomba ushauli wenu japo nimefanya makosa hata naandika haya huku nikiona aibu sijui nifanye nini kwenye hali.

Sasa mimi nitaonekanaje kwenye familia yangu na yao nitaonekana mtu nisiefaa kabisa kwa maana hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kufanya haya mambo, kwakuwa hakuna nikimwmbia asitoe hakutokuwa na siri tena hapo .
mbona rahisi we muoe tu
 
Patrick upo wap kak Kuna wenzio kayatimba uje umpe toxic way huku kama anaweza
 
Kwa akili zangu za kijasusi nikiwa kama 007, huyo dem hana mimba ama lah hiyo mimba sio yako.

Umedakwa mtegoni na kwa jinsi ulivyodakwa ni lazima pesa ikutoke.

Pole sana.
Hela yenyewe shngp nimempa 50000 akatoe hata kama kanidanganya haina shida hela ndogo
 
Shemeji kayatindinganyaa, Poleee wee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom