wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Dawa sio utani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa sio utani
Kuna jamaa aliwahi kuniambia hiyo formula ya kuacha pombe. Daaah vitu vichafu lakini akasema ndio anatapika kila akinywa pombe, na ataacha tu.Kwa pombe kuwekewa mkojo wa punda
Atatapika sana kisha hatokunywa tena
Kwa sigara sijui
Sasa sini kosa kisheria hili?[emoji28]
Yani kuna mambo yanakata stimAache kunywa kupitiliza na pia awe anaoga mke kachoka kusikia harufu mbaya ya jasho za masiku ya mtu mchafu [emoji12][emoji12][emoji12][emoji8]
Na utaliwa na jicho kwa ajili ya ulevi wako wa kingese.Ndo umekuja kunishtaki huku, na siachi kamwe naanza na mjamaika sahivi
Mimi nimekuelewa mama ake.Usemalo lina ukweli mkuu bt ushawahi fikiria au kupitia maumivu ya kuona ndani huna mahitaji ya kutosha ila unajinyima mumeo asitoke ndani hana kitu mfukoni? Na kidogo hichohicho unachomsupport ndo anaenda kunywea pombe? pia isitoshe mnamtoto mdogo ila huoni support ya baba yakutosha