Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
I wish ningekua na hizo demand bt sina coz namsupport kwa kila kitu toka ameyumba kiuchumi
That’s the reason then
Kuyumba kwake huko
Lakini anafanya sivyo mwambie ulevi haumpunguzii matatizo bali unamuonhezea
Lazima atafute kazi yoyote ile
Kukaa bila shughuli ni mtihani ila anajiendekeza mwenyewe na hapo akijua utamlisha utanunulia na pombe
Mpe ukweli akiwa sober kuwa haya mapombe hayamsaidii na badala yake akatafute kazi
Yaani unayumba ndio uwe mlevi mbwa?
Hell no hata sisi tunapigika ila tunanyanyuka na kuoambana tena