Nifanye nini Mume wangu aache pombe na sigara? Hakuwa hivyo zamani

Yaaani zamani hakua hivyo alikua naakunywa kistaarabu ila sasa amekua mlevi ambae hataki hata kuoga yaana kama karogwa vile msaada nipate dawa au mawazo nijue chakufanya maana ndoa imekua ngumu
Sawa, angalia asije kuhamisha kwenye ngono, ikawa tabu zaidi, jiulize kitu gani kimempeleka huko, labda kosa liko kwako, na wewe labda uko kwenye denial, ukiamini uko right all the time..
 
nakushauri...jiangalie kwanza wewe....

kuna wapi unakosea? kama kayumba kiuchumi we ndio dawa, kama kagombana na watu dawa ipo kwako,kama hapendi nyumbani jini mbaya ni wewe....

mpende...muheshimu...msikilize na usisahau kama kuna kitu umefanya muombe msamaha...kama uliliwa hukujua atajua muombe msamaha,kama ni ulimloga kamzindue....

nimepita huko najua ninachoongea hakuna mtu mzima hajui anachofanya..kama upo nae karibu tatizo lisingekua pombe tatizo ungelijua..ndoa imekua ngumu maana upo mbali nae..

hamna mwanaume hajui anafanya nn..deep down kila kitu kiko organised.
wewe jiongeze...kama huelewi nicheki PM
Sinaga unafki..!
 
Mamwanaume sie wakati mwingine kerooooo.Pole dada,njoo kwangu mie msafiiii,nguvu za uhakika utapata na upendo pia
Home boy tafuta wako bana, acha bwa shemeji apambane na kumrudisha bro kwenye mstari.Mi mwenyewe napiga kuacha imekuwa ngumu,ila sio za kusahau mpaka kuoga iyo ni slave.Mara mbili kwa week sio tatizo ,tunawatesa wake zetu.

Mungu atusaidie tuwe na utayari wa kubwaga izi mambo zinapoteza pesa nyingi na wengine kuwapelekea kwenye tamaa ya ngono zembe au kufanya matukio ya aibu
 
Na akiiacha pombe anaanza umalaya.

Kila kitu kina alternative. Jua ulevi wa kupitiliza wa pombe ni mbadala wa kwenda kutafuta wanawake.

We ngoja aache Kama hajaanza kuleta watoto wa nje.

Cha msingi ongeza upendo. Asipooga , muogeshe, akishindwa kula mlishe na n.k.... atapunguza mwenyewe kwa aibu akiona anapendwa. Ila Kama una mdomo haachi na akiiacha jiandae kuwa mke mkubwa.
Afadhali awe na kimoja, maana walevi vile vile ni malaya waliokubuhu na ndio maana hawaendi kunywa Bar isiyo mademu
 
Home boy tafuta wako bana, acha bwa shemeji apambane na kumrudisha bro kwenye mstari.Mi mwenyewe napiga kuacha imekuwa ngumu,ila sio za kusahau mpaka kuoga iyo ni slave.Mara mbili kwa week sio tatizo ,tunawatesa wake zetu.

Mungu atusaidie tuwe na utayari wa kubwaga izi mambo zinapoteza pesa nyingi na wengine kuwapelekea kwenye tamaa ya ngono zembe au kufanya matukio ya aibu
Juzi Kuna video iliwekwa humu sista duu kanyweshwa sijui Ni K-Vant Ile amelewa anajiharishia kwny nguo paratataaaaaaa.
 
“Zamani hakuwa hivyo alikuwa anakunywa kistaarabu”

Hapo ndio kuna dosari, je kuna nini baina yenu najua ni ngumu sana baadhi ya watu kusema ukweli hebu funguka
Ina maana zamani mlikuwa hamna tatizo ila limekuwa zito kwake na kaamua kujipumbaza kwa ulevi wa ziada
Kutokuoga ni msongo wa mawazo
Hapo labda kipato chake hakutoshi kwa demand zako kubwa
Huenda umekuwa na matumizi mengi ambayo anashindwa kukupa kwa kutokana na kipato

Matatizo mengi huwa ni finance hebu kuwa mkweli na ubadilike
Au labda kuna watu wa karibu yako wanaishi na nyie na hayupo Radhi ila anakuheshimu sana

Kwa kweli mpaka tusukie ukweli wako hatuwezi kuamua bali assumptions tu

Msaidie sana na kama ni wewe jirekebishe
 
Yaaani zamani hakua hivyo alikua naakunywa kistaarabu ila sasa amekua mlevi ambae hataki hata kuoga yaana kama karogwa vile msaada nipate dawa au mawazo nijue chakufanya maana ndoa imekua ngumu
Kwa pombe kuwekewa mkojo wa punda

Atatapika sana kisha hatokunywa tena

Kwa sigara sijui
 
Yaaani zamani hakua hivyo alikua naakunywa kistaarabu ila sasa amekua mlevi ambae hataki hata kuoga yaana kama karogwa vile msaada nipate dawa au mawazo nijue chakufanya maana ndoa imekua ngumu
Anahitaji Maombi Huyo.
 
Naona unazungumzia Wapenda pombe halafu hawana hela. Hiyo ndio kazi yao, kupiga majungu na ukuwadi, posho pombe
Wasiokunywa kazi yao Ni kukaa na wake zao nyumbani na wake zao na kuwasema wajuba.
 
“Zamani hakuwa hivyo alikuwa anakunywa kistaarabu”

Hapo ndio kuna dosari, je kuna nini baina yenu najua ni ngumu sana baadhi ya watu kusema ukweli hebu funguka
Ina maana zamani mlikuwa hamna tatizo ila limekuwa zito kwake na kaamua kujipumbaza kwa ulevi wa ziada
Kutokuoga ni msongo wa mawazo
Hapo labda kipato chake hakutoshi kwa demand zako kubwa
Huenda umekuwa na matumizi mengi ambayo anashindwa kukupa kwa kutokana na kipato

Matatizo mengi huwa ni finance hebu kuwa mkweli na ubadilike
Au labda kuna watu wa karibu yako wanaishi na nyie na hayupo Radhi ila anakuheshimu sana

Kwa kweli mpaka tusukie ukweli wako hatuwezi kuamua bali assumptions tu

Msaidie sana na kama ni wewe jirekebishe
Quite right.
 
Back
Top Bottom