Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Quite right.
Da mwanamke huyu ni adimu kwa siyo vibaka .mwanamke angemwombea afekabisaNingepata mwanamke mwema kama wewe , Mungu angenipa bonus miaka 10 kutokana na upendo wako tu.
Da mwanamke huyu ni adimu kwa siyo vibaka .mwanamke angemwombea afekabisa
Nunua pombe anayoipenda nyumbani kisha tia maziwa mabichi/fresh kwa pombe hakikisha hakuoni! Akinywa hatorudia kabisa..Yaaani zamani hakua hivyo alikua naakunywa kistaarabu ila sasa amekua mlevi ambae hataki hata kuoga yaana kama karogwa vile msaada nipate dawa au mawazo nijue chakufanya maana ndoa imekua ngumu
Yaaani zamani hakua hivyo alikua naakunywa kistaarabu ila sasa amekua mlevi ambae hataki hata kuoga yaana kama karogwa vile msaada nipate dawa au mawazo nijue chakufanya maana ndoa imekua ngumu
Ha ha haKwa hiyo hataki kuoga anaona atachelewa masanga?.
Ndio ataichukia pombe.
Mpe love, mpe romance, mpe sex, msetie high standards km anakupenda atakuPlease. Vinginevyo sepa
Unavumilia vipi kuwa na mpenzi ambaye kuoga tu ni shida?.
Nunua pombe anayoipenda nyumbani kisha tia maziwa mabichi/fresh kwa pombe hakikisha hakuoni! Akinywa hatorudia kabisa..
Anza kunywa na wewe, tena kunywa kwa fujo, ikiwezekana amkia bar siku moja, lazima aache
I wish ningekua na hizo demand bt sina coz namsupport kwa kila kitu toka ameyumba kiuchumi“Zamani hakuwa hivyo alikuwa anakunywa kistaarabu”
Hapo ndio kuna dosari, je kuna nini baina yenu najua ni ngumu sana baadhi ya watu kusema ukweli hebu funguka
Ina maana zamani mlikuwa hamna tatizo ila limekuwa zito kwake na kaamua kujipumbaza kwa ulevi wa ziada
Kutokuoga ni msongo wa mawazo
Hapo labda kipato chake hakutoshi kwa demand zako kubwa
Huenda umekuwa na matumizi mengi ambayo anashindwa kukupa kwa kutokana na kipato
Matatizo mengi huwa ni finance hebu kuwa mkweli na ubadilike
Au labda kuna watu wa karibu yako wanaishi na nyie na hayupo Radhi ila anakuheshimu sana
Kwa kweli mpaka tusukie ukweli wako hatuwezi kuamua bali assumptions tu
Msaidie sana na kama ni wewe jirekebishe