thundercat8
Senior Member
- Nov 25, 2015
- 172
- 384
Em tumuulize huyu kijana, such a foolish question to ask as a man.Wewe ni jinsia gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Em tumuulize huyu kijana, such a foolish question to ask as a man.Wewe ni jinsia gani?
We ni mvulana au mwanaume?Jamani wana jamii,
Mimi nilikuwa na kaswali. Mwanamke akikuambia hana mood ya ku-chat na wewe unatakiwa umuache kwanza au?
Najiuliza kama darasani wanaandika hiviHivi vitoto sijui vinaandikaje siku hizi!! 🙆🙆
Mtumie pesa ya kusukaJamani wana jamii,
Mimi nilikuwa na kaswali. Mwanamke akikuambia hana mood ya ku-chat na wewe unatakiwa umuache kwanza au?
we kubali tu kuwa una tatizo la uandishi.Jus kuwa mpole ni typing error me nilimanisha hana mood ya kuchat
Dogo yupo chuo kikuuYaani mkuu hawa vijana wa siku hizi ni majanga matupu kuwaelewa wanachokiandika wanamaanisha nini hasa!
Hebu fikiria huenda hapo aliposema "......ana mood" yeye amemaanisha 'hana mood'.
Uandishi wa kipumbavu kabisa mpaka unajiuliza huyu kafika darasa la 4 kweli?
You manAna---
Hana-----
Ipi kat ya hapo?!
Kuna jamaa linamchatisha ndo maana hana hamu na chat zako.Jamani wana jamii,
Mimi nilikuwa na kaswali. Mwanamke akikuambia hana mood ya ku-chat na wewe unatakiwa umuache kwanza au?
boe - boyBoe tulia bas nimeuliza vizur tu Ayo mengine yametoka wapi sijui nilifika darasa4 kwely emu tulia basi kaka angu mbona unakuwa kama wakike ww kama ulikuwa unajuwa ungejib sijaona umuhimu wa wewe kusem yote Aya wanaume atupo hv brooh