NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU!
Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si Kaka wa tumbo moja bali ni mtoto wa Mama Mkubwa ila tunaishi kama ndugu.
Huyu Kaka ana kampuni yake, kipato kikubwa na yeye na mke wake wote ni wafanyakazi wakubwa sana serikalini. Sababu ya kuishi hapa nikuwa ndugu hawampendi huyu mwanamke, ni mbinafsi na si wale watu wa kujichanganya, yaani kwa kifupi ana dharau.
Anatudharau sisi ndugu wamume wake, ni kama mume wake kazaliwa peke yake, yaani hata Mama mkwe anmdharau, hata mimi ninayeishi hapa hatupatani kila siku nikugombana.
Shida nikuwa, nikitaka kuondoka ndugu wananikatalia kwa madai kuwa nilinde mali za Kaka kwani nikiondoka anaweza kumuua. Kaka ni mtu wa kumsikiliza sana mke wake, huwezi kumuambia kitu atakuamini, yaani kila kitu anafanya na mke wake, huwezi amini haata nyumba kaandika majina yao wote.
Hali hiyo inawafanya ndugu kuona siku Kaka akifa basi kila kitu atachukua wifi. Mwanzo nilikua najisikia vizuri kukaa hapa nikiamini wataachana lakini sasa hivi naona kama napoteza muda, kila mahusiano ninayoingia yanafutika kwakua sina uhuru na mwanaume wangu.
Nakua bize kazini an weekend natoka na Kaka sasa mwanaume labda nikumuambia tuongozane mimi na Kaka na wifi hataki. Tunagombana tunaachana, sasa nimechoka hii hali ila nawaza hivi nikiondoka hizi mali zitaishia wapi.
Kitu kingine ambacho kinanisumbua nikuwa nsihaanza kumpenda Kaka yangu kimapenzi, yeye hajui ila nikimuona namna anavyoishi na mkewe, anamjali natamani anijali mimi, natamani kuishi kama yeye hivyo nikipata mwanaume hajali kam kaka nakua na hasira sijui nifanye nini hii hali iishe!