Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan tunaolewa tukalee watoto dear au tunaoana kwasabbu ya mapenz tukaishi pamoja watoto ni matokeo ya ndoa Kwan Kuna ndoa hazinawatoto n wako happy wameshukuru na wanafurahia muunganiko waoUtaachana na wanaume wangapi ndugu yangu na mnawatoto?
Aso hili analile mama.
Kikubwa asiwe anakupiga hapo ndipo pa baya.
Ni malaya that’s fine.anajua wajibu wake katika familia?anatunza familia?
Kama umalaya wake umekuwa tishio..basi changua hakuna kushiriki nae tendo la ndoa.
Anza na furaha yako wewe mwenyewe mamaaa..ukitegemea furaha yako akuletee mtu mwingine 😅😅lazima uumie.
Ni mume wako umtupie nani?ni malaya lakini anatimiza majukumu yote kama baba wa familia ya nini nimtelekeze huko ukraine akalipuliwe na mabomu?hapana kwakweli.tutapambana tu muhimu asiwe ananizabua makofi.
Kuna majaribu yanakuhitaji wewe mke kusimama na Mungu katika kuiombea familia na kuikomboa.mna watoto..kwanini usiangalie hayo madhaifu Kwa jicho la tatu Kwa upande wa watoto na kuwaombea?
Ninaweza nisieleweke.ngoja niishie hapa.
Mwanamke yeyote zingatia kujipenda wewe kwanza.furaha ianze na wewe.furaha yako kipaumbele chako
🥂🥂
🤸♀️🤸♀️
Unda FUMANIZINimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.
Nataka aumie kama ninavyoumia.
Uvivu wa kufikiri na tabia chafu, tunakwepa kuwajibika tunamsingizia shetani. Binadamu tumepewa utashi tofauti na wanyama.Hivi ni kweli shetani ndie anaye husika na haya yote au ni mentality mind imetupelekea huko.
🙄🙄🙁"If you break my heart
I go date your fada
You gonna be my son
You go call me your mother
Say if you break my heart
I go date your fada
You gonna be my son
You go call me your mother"
Naupenda sana huu wimbo [emoji851]
Wakati mwingine ni pepo tu hajielewi jaribu kuomba sana kuntoa kwenye vifungo iyo amini mungu atamfungua .upo mkoa gani .naomba usilipize mungu wetu sio visasiNimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.
Nataka aumie kama ninavyoumia.
yaani katika wanaume kumi unaochepuka nao hata mmoja asitokee wa kukuvalisha pete kama ni pete ndio unayoitaka???[emoji23][emoji23][emoji23] acha ngono iitwe ngono na ndoa iitwe ndoa. Kutamaniwa na wanaume kukupanda haimaanishi ndiyo mtu atavalisha pete. Kwani yeye hajui alipokutoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38], tutafakarini kwanza.
wanaume wengi huchepuka i agree..ila huyu anayetembea na hadi ndugu wa mke tena waziwazi ni malaya per se!,,,,hii ndoa ilishakufa kibudu siku nyingi,mtoa mada ukizubaa unaletewa ukimwi ndani kisa unaogopa jamii itakuchukuliaje ukiachika.Wanaume ni wale wale ndugu
Genetically,kitabia,etc are mostly coherent....
Kujitoa kwa huyu na kujiweka kwa yule unafuu sio mkubwa sana kama unavyofikiri
Huyu malaya,ukamuacha ukaenda kwa yule asie malaya,ukakuta jinga kabisa hata kutafuta hela ya ada ya watoto hawezi,na wanawake hawasamehi ukijnga kama huu....still mateso yale yale ni versions tu
Wanadamu ni wale wale....unaweza achika,then tumaini la kupata mwingine likaishia hewani
Soko la mwanamke alieachika kupata mume tena ni mathematically impossibility ndugu....shida watu wana emotions too much wanajisahaulisha reality
Swali ni jee,by default,maisha ya loneliness na macho ya jamii unaweza yadhibiti for the rest of your life as a woman?If you can then good for you.
kwahiyo wewe ukajua ndoa ni free style😂😂😂. Ndio maana zikaitwa ndoa za mchongo sikuizi, wewe nani kakwambia ukiolewa unaishi kama msela. Sasa siubaki bachelor tujue.pole sa
yaani katika wanaume kumi unaochepuka nao hata mmoja asitokee wa kukuvalisha pete kama ni pete ndio unayoitaka???
by the way pete ndio ikufanye uishi kwenye kifungo?!
Halafu kuchepuka kwa mwanamke kunamwisho labda awe anajiweza hivyo aanze kulea watakaochepuka naye. Huyo mwanaume mjinga wakuoa mdada wa kujirahisisha siatakuwa mjinga.pole sa
yaani katika wanaume kumi unaochepuka nao hata mmoja asitokee wa kukuvalisha pete kama ni pete ndio unayoitaka???
by the way pete ndio ikufanye uishi kwenye kifungo?!