Nifanye nini? Ndoa ina miezi 10, mke wangu kabadili dini kaolewa na mwanaume mwingine

Wewe uko busy na mavitabu tu huku mke anachukuliwa
 
Sasa Umuhimu wa PhD ni upi kama hadi mke unasaidiwa kutafuta na Shangazi?
 
Mleta mada,kwanini akili yangu inaniambia wewe haukusoma Uingereza?

Yaani hata mada sijaimaliza lakini kichwani kunalia alarm kwamba huyu mleta mada hiyo kwenda kusoma nje ameiweka tu kama kibwagizo asionekane hamnazo sana.
Tajiri wa matajiri wenzie huwa tukipiga PhD UK, lazima tupitie Cuba kwa refresher courses.

Ona sasa unalialia ovyo kama maskini na lofa fulani hivi hata mvulana wa darasa la kwanza Cuba hawezi kuwa hivyo
 
Ila mbona kama inaonesha wewe ndio una matatizo zaidi kuliko huyo dada?

Au ni macho yangu?

Anyways who cares!
 
Tafuta mke uoe badala ya kulilua loser ambaye baadae ataharibikiwa na kukukumbuka. Naamini utapata mke anayekufaa wa kujitafutia na si kutafutiwa. Shukuru hata hamna mtoto wala bond yoyote mwanangu.
 
Hivi Waislamu hawabandiki tangazo kabla ya ndoa, ilifanyika kimya kimya? Labda huyo jamaa ana ufundi wa ziada kukuzidi wewe, wanawake wengi wanataka ufundi ili wafike wanapotaka.
 
Katika watu walio nishangaza ni wewe alafu mbaya zaidi unasema una PhD dooh!!! Kama umeleta thread kufurahisha jamii ni sawa ila kama ni thread ya ukweli katika maisha yako basi nikupe pole maaja japo una PhD bado wewe ni mjinga na mpumbavu usiyekuwa na akili timamu una shida na matatizo ya akili
 
Una PhD unashindwa kutoka ndani kisa mapenzi?.
 
Kua uyaone ndo unayaona sasa

Mambo mengne ni mazito ata kuyawaza, kwaiyo uyo mke wako saiv ana ndoa mbili halali
 
1.Muombe Mungu wako wa sirini na baba yako aonaye sirini atakujazi.
2. Endelea na maisha yako ikiwezekana ungeoa hukohuko Uingereza tu maana Afrika is for African.
3. Kuvunjika kwa koleo.....
 
Watu wengi waliosoma huwa wanaupungufu wa elimu maisha.
Unatakiwa kuitafuta Phd nyingine ya maisha ya ndoa na mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…