Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 806
- 1,537
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atajijua mwenyewe...akidanganya atakuwa kajiharibia mwenyewe, kunakitu nataka mshauri
Atajijua mwenyewe...akidanganya atakuwa kajiharibia mwenyewe, kunakitu nataka mshauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...mkuu ni multiple ID or what??[emoji15][emoji15][emoji23]Anaweza akajibu baadae na ww usiwe online,..
Assume, amejibu ana kibamia, hebu mshauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...mkuu ni multiple ID or what??[emoji15][emoji15][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu pekee anaweza kukuoakoa na uzinzi.Salamu kwenu, nilianza kutembea na dada wa kazi nilipokuwa darasa la sita, 2002 niliona raha sana tangu hapo nikawa naenda chumbani kwake kila siku usiku, alikuwa amenizidi sana umri ila alinikosha sana na mpaka leo japo aliolewa ila akija kwangu huwa tunazini nae.
Baada ya kuingia sekondari nilizini na wanawake zaidi ya 10 o level na wanawake zaidi ya 20 advance. Nilivyoenda chuo ndo sijui hata idadi na nilikuwa mpole sana na msikivu kwa wadada hivyo nilikuwa silent killer kwao maana nilitembea na marafiki zao pia.
Baada ya kuajiriwa na kuanza maisha ya kujitegemea jijini Tanga nimezini na wanawake wengi mno si wanafunzi, si wafanya kazi na wenye mvuto, kwasasa nimehamia karagwe huku nako nazini sana.
Ni nini nifanye ili niache? Nikiona mdada mweusi mwenye kimini kilicho tait(vile vya kuvutika) macho hunitoka huku wapo wengi sana sijui nifanye nini niache.
Nimetamani mzigo wako, hiyo picha kwenye avatar niyako?
Zinakutosha kweli???[emoji15][emoji15]Nimetamani mzigo wako, hiyo picha kwenye avatar niyako?
hahahaha na wote tuseme inshallahSijawahi kweli kufanya zinaa yoyote. Nataka nije kufanya kwa mke wangu.
Inshallah [emoji3][emoji3]hahahaha na wote tuseme inshallah