Nifanye nini niache umalaya?

Nifanye nini niache umalaya?

Ukishaanza habari za ngono ni ngumu sana kuacha, binafsi sikuweza hata nilipotaka kuacha.

Best option ni kuoa, then fanya dhamira ya dhati kabisa baada ya kuingia ndoani uheshimu ndoa yako, that way unaweza kushinda hilo jaribu...
 
Karagwe sehemu gani,kwetu huko ndugu yangu.
 
Huwezi kuacha kwa sasa , Ndivyo ulivyoumbwa muda sahihi ukifika utaacha tu, cha msingi chunga afya yako.
 
Kama kwa kupita kote huko huja kamatika katika maradhi yaliyoshindikana;nakushauri uoe.
 
Ukiacha unakufa endelea hivyohivyo kupata dozi..ngonoka saaaaaaaaaaaaaaaaaaana.Mpaka upate tuzo ya MNGONOKAJI
Nimependa maoni yako, nimeona mzigo wako kwenye avatar natamani nipite nawewe
 
Back
Top Bottom