Nifanye nini nikiwa chuo ili nikimaliza nisitegemee ajira?

Ushauri wa hovyo kuwahi kukutana nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya Yafuatayo.

Unda umoja/ kikundi cha wanafunzi wanao tegemea kujiajiri. Tafuta wanao taka kujiajiri anzisheni ka umoja fulani.
- Anzeni kuoraganise mikutano na mnaalika watu au taasisi mbali mbali.
Waalikeni TRA waje kuwapa shule ya kodi.
- waalikeni Brela
- Waalikeni TBS/TFDA
-Waalikeni wafanya biashara maarufu kama Mengi anaweza kuja kuwapa hamasa.

Kwa kifupu unatakiwa kujiandaa kisaikolojia na kujiandaa ndo huko.

Pia tafuta marafiki hapo chuoni wenye muelekeo wa ujasiriamali.

Tengeneza mtandao na watu walio jiajiri na kipindincha likizo watembelee na waambie kabisa nia yako ulio nayo.

Sisi tukiwa chuoni tulifanya sananhivyo ingawa mpaka leo hii tulio tembea kwenye maneno yetu twa weza kuwa watatu au wanne.

Tulikuwa tunaalika TRA, tena walikuwa wanafurahi sana kualikwa na sisi. Tuliwaalika TIC



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya biashara ya network marketing ni biashara inayolipa sana na haiitaji mtaji mkubwa sana kama biashara nyingine kama unahitaji kushirikishwa tuwasiliane kwa 0757409104
 
Fanya biashara ya network marketing ni biashara inayolipa sana na haiitaji mtaji mkubwa sana kama biashara nyingine kama unahitaji kushirikishwa tuwasiliane kwa 0757409104
what is the meaning of inalipa? Hiyo ni biashara ya Uchuuzi tu hakuna kitu. make nyie mafanikio ni mtu kuendesha Gari na juwa na nyumba.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kufanya..

1.Tafuta business partiner mwaminifu ambaye amesoma afya,ila yuko mtaani,mkae mtengeneze project ya kituo cha afya,mnaweza kuanza na pharmacy na maabara.mkishaandika project hiyo tafuteni mfanyabiashara mzuri hasa mhindi ambaye atatoa pesa kwa ajiri ya kuanzisha project na kuiendeshe siku za mwanzoni,kumbuka na huyo businessman lazima mmpe hisa..NB nimependekeza mhindi sababu wahindi sector ya afya wanajua inapesa nyingi na rahisi.

2.Tafuta location nzuri,mkoa au wilaya ambayo haina vituo vingi vya afya.

3.kila likizo uwe unafanya kazi kwenye project yako.

Ukifanya hivo nadhani utamaliza chuo ukiwa ceo kwahiyo badala ya kuandika cv utakua unapokea cv za kuombwa ajira.

Industry ya afya ina hela sana.
 
Mkuu bonge la ushauri aiseee nimeuelewa binafsi
 
Ferrenga
Shaka ondoa,...!! sio abiria wote huanzia safari kwenye kituo kikuu (eg. Ubungo), wengine huanzia safari kwenye vituo vidogo (eg. Mbezi, Chalinze).
 
Hii unaifanyia wapi?
 
Anza kusoma FOREX TRADE.
 
whatsapp://send?text=*Nafasi mpya za kazi zinapatikana. Ingia* Jikwamue! *kuangalia. Pia usisahau kujiunga kwa SMS ili upate ujumbe kila nafasi mpya inapotoka. Kujiunga ni bure!* *TAFADHARI SHARE IWAFIKIE NA WENGINE*
 

wealth
authority
legacy..

ukishapata hela utagundua hela sio kila kitu, ukishapata uongozi mamlaka na ufalme utagundua yana mwisho pia.. utatamani uache alama ya maisha yako.. and life ends there!
 
Tafuta Idea nzuri ya biashara inayoendana na sehemu ulipo then ifanyie kazi,unaweza kufungua kampuni pia na kuikuza mdogomdogo.
 
Reactions: CTX
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…