Nifanye nini nikiwa chuo ili nikimaliza nisitegemee ajira?

Nifanye nini nikiwa chuo ili nikimaliza nisitegemee ajira?

Mdogo wangu nikushauri kitu?

Maisha hayana formula, usikariri na wala usilazimishe vitu. Kwa sasa wewe ni mwanafunzi fanya uanafunzi. Utakapokuwa mjasiriamali utafanya ujasiliamali. Ukiwa mwanafunzi unatakiwa ufanye uanafunzi. Soma kwa bidii, nenda club, kesha library, hanagaika na masomo huo ndio uanafunzi. Usipofanya sasa amini nakwambia ipo siku maishani mwako utataka kufanya haya!

Wewe ni mwanafunzi wa udaktari unaogopa nini kuhusu ajira? Aliyekwambia madaktari hawana ajira nani au kwa kuwa unadhania kuajiriwa lazima uajiriwe serekalini?

Ikifika mahali pa ujasiliamali utafanya kaka. Usipindishe njia ya maisha. Enjoy uanafunzi wako, hakuna mashindano duniani kaka!
Ushauri wa hovyo kuwahi kukutana nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya Yafuatayo.

Unda umoja/ kikundi cha wanafunzi wanao tegemea kujiajiri. Tafuta wanao taka kujiajiri anzisheni ka umoja fulani.
- Anzeni kuoraganise mikutano na mnaalika watu au taasisi mbali mbali.
Waalikeni TRA waje kuwapa shule ya kodi.
- waalikeni Brela
- Waalikeni TBS/TFDA
-Waalikeni wafanya biashara maarufu kama Mengi anaweza kuja kuwapa hamasa.

Kwa kifupu unatakiwa kujiandaa kisaikolojia na kujiandaa ndo huko.

Pia tafuta marafiki hapo chuoni wenye muelekeo wa ujasiriamali.

Tengeneza mtandao na watu walio jiajiri na kipindincha likizo watembelee na waambie kabisa nia yako ulio nayo.

Sisi tukiwa chuoni tulifanya sananhivyo ingawa mpaka leo hii tulio tembea kwenye maneno yetu twa weza kuwa watatu au wanne.

Tulikuwa tunaalika TRA, tena walikuwa wanafurahi sana kualikwa na sisi. Tuliwaalika TIC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya biashara ya network marketing ni biashara inayolipa sana na haiitaji mtaji mkubwa sana kama biashara nyingine kama unahitaji kushirikishwa tuwasiliane kwa 0757409104
 
Fanya biashara ya network marketing ni biashara inayolipa sana na haiitaji mtaji mkubwa sana kama biashara nyingine kama unahitaji kushirikishwa tuwasiliane kwa 0757409104
what is the meaning of inalipa? Hiyo ni biashara ya Uchuuzi tu hakuna kitu. make nyie mafanikio ni mtu kuendesha Gari na juwa na nyumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kufanya..

1.Tafuta business partiner mwaminifu ambaye amesoma afya,ila yuko mtaani,mkae mtengeneze project ya kituo cha afya,mnaweza kuanza na pharmacy na maabara.mkishaandika project hiyo tafuteni mfanyabiashara mzuri hasa mhindi ambaye atatoa pesa kwa ajiri ya kuanzisha project na kuiendeshe siku za mwanzoni,kumbuka na huyo businessman lazima mmpe hisa..NB nimependekeza mhindi sababu wahindi sector ya afya wanajua inapesa nyingi na rahisi.

2.Tafuta location nzuri,mkoa au wilaya ambayo haina vituo vingi vya afya.

3.kila likizo uwe unafanya kazi kwenye project yako.

Ukifanya hivo nadhani utamaliza chuo ukiwa ceo kwahiyo badala ya kuandika cv utakua unapokea cv za kuombwa ajira.

Industry ya afya ina hela sana.
 
Mkuu bonge la ushauri aiseee nimeuelewa binafsi
 
Ferrenga
Shaka ondoa,...!! sio abiria wote huanzia safari kwenye kituo kikuu (eg. Ubungo), wengine huanzia safari kwenye vituo vidogo (eg. Mbezi, Chalinze).
 
Tafuta vibali ufanye biashara ya kuni inalipa ajabu...mm n Mwalim ila nafkilia kuacha kaz nizd kujitanua kibiashara

Mtaji n wakawaida mfano ukichukua fuso la saiz ya kat n kuni 1500 ....gar lak 3 ...bei ya kuni hzo lak 180000 kwa wew huna lesen n lak 3 ...so ukiwa na lak tisa unaanza...

Kuni 1=1000
Kuni 1500=1500000 faida lak 5 mm huwa napat kwa siku kumi na nna 23 years cna familia... Jarbu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii unaifanyia wapi?
 
Husika na kichwa hapo juu mm ni mwanafunzi wa udaktari mwaka wa pili naingia sasa mwaka wa kwanza wote napokea boom lakini sijaona cha maana chochote nilichofanyia na hiyo pesa sina demu sina matumizi makubwa siend club wala sehemu zozote za starehe nataka nikiingia mwaka wa pili niwe tofauti nianze ku think mbali nisikae nikitegemea kumaliza na kuajiriwa na ajira sio uhakika siku hizi........ Nakaribisha mawazo yenu wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Anza kusoma FOREX TRADE.
 
whatsapp://send?text=*Nafasi mpya za kazi zinapatikana. Ingia* Jikwamue! *kuangalia. Pia usisahau kujiunga kwa SMS ili upate ujumbe kila nafasi mpya inapotoka. Kujiunga ni bure!* *TAFADHARI SHARE IWAFIKIE NA WENGINE*
 
Husika na kichwa hapo juu mm ni mwanafunzi wa udaktari mwaka wa pili naingia sasa mwaka wa kwanza wote napokea boom lakini sijaona cha maana chochote nilichofanyia na hiyo pesa sina demu sina matumizi makubwa siend club wala sehemu zozote za starehe nataka nikiingia mwaka wa pili niwe tofauti nianze ku think mbali nisikae nikitegemea kumaliza na kuajiriwa na ajira sio uhakika siku hizi........ Nakaribisha mawazo yenu wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app

wealth
authority
legacy..

ukishapata hela utagundua hela sio kila kitu, ukishapata uongozi mamlaka na ufalme utagundua yana mwisho pia.. utatamani uache alama ya maisha yako.. and life ends there!
 
Tafuta Idea nzuri ya biashara inayoendana na sehemu ulipo then ifanyie kazi,unaweza kufungua kampuni pia na kuikuza mdogomdogo.
 
  • Thanks
Reactions: CTX
Back
Top Bottom