Nifanye nini nikiwa chuo ili nikimaliza nisitegemee ajira?

Samahani mkuu una uelewa kidogo juu ya uanzishwaji wa pharmacy au ka dispensary kadogo mtaji kias gani na vitu vingine
 
SUPER LIFE SUPPORT
Join link hii uje utengeneze pesa, waweza ni PM nikupe deal
 
Pm please
 
Fanya saving... ili ukimaliza ufungue biashara fulani wakati unapambana na ajira.
Weka malengo ya aina ya biashara (possible businesses) na kiwango cha pesa katika kuwekeza ili ikupe mwongozo wa kiasi cha kusave kila muda uliojiwekea....
 
Bro unatumia jina gn fb nkutafute tuongee vizur mi na ww
 
Develop your mindset.
 
kaka njoo tuuze nots mashulen hasa shule za advance ani inapay nzuri sitamani kuacha hii kazi...unaweza kuacha kabisa chuo ukaachana na hao ma prof unapiga biashara zako
 
Kwa nini huwa hamuwezi kuunga ndugu zenu au wazazi wenu na koo zenu ili mpate neema zaidi?😳😳 hizo biashara zenu ni kama mizimu hazitaki familia/koo zenu?
Fanya biashara ya network marketing ni biashara inayolipa sana na haiitaji mtaji mkubwa sana kama biashara nyingine kama unahitaji kushirikishwa tuwasiliane kwa 0757409104
 
kaka njoo tuuze nots mashulen hasa shule za advance ani inapay nzuri sitamani kuacha hii kazi...unaweza kuacha kabisa chuo ukaachana na hao ma prof unapiga biashara zako
You think so little...mtu ache elimu ya juu kisa kuuza notes.....Ungekua na biashara feasible ningesema umeongea point ila wewe unauza notes[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mh! Inahitaji sana jicho la biashara kuona ni biashara ipi italipa na niwekeze kiasi gani, kama hana entrepreneurial mindset nadhani njia hii itakua ngumu kwake. Labda anunue shares DSE!.
Kuwa Venture Capitalist, wekeza kwenye kampuni ndogo za biashara unazozipenda kwa kuongezea mitaji
 
Soma kwa bidii afu nendaa Club. .
duuu

Nokia ya Torch
Unashangaa ya Mussa!? hii hapa ya firauni, enzi zangu za O level bila Castle kichwani mambo hayaendi, yaani pepa nilizowahi piga sijaweka vitu nilipata ufaulu hafifu sana. Advance nilindelea na kamchezo kangu, kufika chuo nikaanza tudemu basi nikikosa kipochi manyoya hata ubongo naskia umesimama, 2 + 2 nasema 16, nakumbuka mwamba mmoja alikuwaga anasema ile kitu ni kisafisha ubongo, yaani kipindi cha UE ilikuwa ni lazima nimuhamishie dada yako Geto vinginevyo ntachezea mi Sup kama sina akili, ila akiwepo mpaka UE inaisha hapo najua GPA ni kuanzia 4.4 na kuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…